Background Check
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 341
- 498
Ooh!... Mbona sijawahi sikia wakitangaza huku kwetu mkuu, au natakiwa niwe na connectionViongozi wa maeneo unakoishi ndio wanaandikisha, kwa mikutano maalumu ila ya viwanjani ni free
Duuuh!...Pambana mdogo wangu
Ila kuna kujuana kwingi
Ngumu kupenya bila connection
Connection mkuu,pia inatokana na uwajibikaji wako kwenye maswala ya kijamiiOoh!... Mbona sijawahi sikia wakitangaza huku kwetu mkuu, au natakiwa niwe na connection
Toa na kamfano kadogo mkuu, maana kimtaa mtaa nashiriki sana misiba Hahahaha.Connection mkuu,pia inatokana na uwajibikaji wako kwenye maswala ya kijamii
Misiba haitoshi jichanganye na kwenye siasaToa na kamfano kadogo mkuu, maana kimtaa mtaa nashiriki sana misiba Hahahaha.
Nachukua hiiHapo tafuta nafasi ndani ya chama dola.oia uwe na kitambulisho chao.
Nimeelewa Asante sana