Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

Acha kupoteza muda , Mara unatakiwa utulie , ukiwazie hicho kitu kama unakihamisha Bila kukigusa mara kama kinahama chenyewe.. sijui uanze na tahajudi ...
Ngoja leo usiku nijitahidi nikiweza nitakua siokoti kitu ni kukinyanyua tu
 
Wale magicians ni waongo mkuu.

Wengi wao wala sio wana nguvu hizo za kiroho ila wanatumia teknolojia.
Ni ngumu sana kuwabaini ila hukohuko youtube kuna video zinavoonesha jinsi wanavyofanikisha kuwahadaa watu.

Na pia huwa sio mtu mmoja huwa ni crew kabisaa inaandaa mazingira kwa ajili ya jamaa kufanya yake, si unaonaga video ilivyo clear hata haitikisiki ndo ujue kunakua pia na cameraman pale.
 
Back
Top Bottom