Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

Sasa sijakuelewa kwamba nikiwa nataka kitu kije kitakuja au ndio mauza uza? [emoji23][emoji23][emoji23] vitu vije bila mpango?

Huyo jini ni wakike tuanzie hapo?
Siyo mauzauza, jini atakaa ndani yako, wewe unaongea peke yako tu. Mfano kabati hili liende chumba hiki
na likae hapa! Hilo jambo linafanyika. Jini halina jinsia hili.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom