Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

Wazo zuri, mimi nafikilia jinsi ya kufika mkoa mwingine, bila kutembea au kupanda chombo cha usafiri.
 
Mkuu hivi na wale manabii au waganga wanaoona matatizo ya watu na kuweza watabiria yajayo na yakatokea kweli, huwa wanatumia nguvu gani? Yaani mfano anakutajia majina ya watu ambao ni kweli unawafahamu au anakuelezea matukio ambayo ni kweli umeyapitia, kisha akikutabiria kitu ambacho umekuwa ukitamani kitokee miaka mingi ila hakikutokea kinakuja kutokea baada ya yeye kukutabiria huwa wanatumia nguvu gani?
 
Back
Top Bottom