Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

Nakutumia jini moja toka Pemba Hilo halionekani utaona vitu vinakuja tuu bila wewe kugusa.
Nipe location na jina la mama yako.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Sasa sijakuelewa kwamba nikiwa nataka kitu kije kitakuja au ndio mauza uza? 😂😂😂 vitu vije bila mpango?

Huyo jini ni wakike tuanzie hapo?
 
Mara nyingi nikiwa barabarani....nikiona mtu anakimbia kama kuwahi daladala ama lolote,nikimkazia macho sana kama sio kujikwaa basi atajigonga au kuparamia vitu na kuanguka......ila ni mara chache

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ngoja nijaribu pale kariakoo siku nikiwa sina usafiri magari ya tegeta ni sheda nitajaribu watu wasione mlango wapalamie tairi
 
Wale magicians ni waongo mkuu.

Wengi wao wala sio wana nguvu hizo za kiroho ila wanatumia teknolojia.
Ni ngumu sana kuwabaini ila hukohuko youtube kuna video zinavoonesha jinsi wanavyofanikisha kuwahadaa watu.

Na pia huwa sio mtu mmoja huwa ni crew kabisaa inaandaa mazingira kwa ajili ya jamaa kufanya yake, si unaonaga video ilivyo clear hata haitikisiki ndo ujue kunakua pia na cameraman pale.
Uko sahihi mkuu, ni group la watu wengi. Kuna channel huwa wanaonyesha hizo tricks. Kuna moja niliona jamaa anaelea kumbe kwa ndani kavaa koti lenye sumaku halafu nyuma ya camera kuna jamaa mwingine anamnyanyua huyo jamaa kwa mtambo kwa kuunganishwa na sumaku.
 
Yes ninataka kujua hii kitu
 
Nko chin y miguu yako
Ukifanikiwa naomba mbinu nmvute[mention]Kelsea [/mention] bil kumgusa
 
Ushashiba msosi wa idd mzee unataka kuhangaika
 
Back
Top Bottom