Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
- Thread starter
-
- #21
Sasa sijakuelewa kwamba nikiwa nataka kitu kije kitakuja au ndio mauza uza? πππ vitu vije bila mpango?Nakutumia jini moja toka Pemba Hilo halionekani utaona vitu vinakuja tuu bila wewe kugusa.
Nipe location na jina la mama yako.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kila mtu anakula urefu wa kamba yakeWakati Wazungu wanasafiri kwenda kutembea kwenye mwezi, huku kwetu kuna mwenzetu anawaza kuhamisha vitu bila kuvigusa..
Tunaishi kwa Imani zaidi.
Ngoja nijaribu pale kariakoo siku nikiwa sina usafiri magari ya tegeta ni sheda nitajaribu watu wasione mlango wapalamie tairiMara nyingi nikiwa barabarani....nikiona mtu anakimbia kama kuwahi daladala ama lolote,nikimkazia macho sana kama sio kujikwaa basi atajigonga au kuparamia vitu na kuanguka......ila ni mara chache
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
una li fifti hapo mkuu nikufundisheHakuna linalo shindikana chini ya jua
Mbona watu wankufa chini ya Jua vipi hapo?Hakuna linalo shindikana chini ya jua
πππ fanya treila andika namba yangu ya simuuna li fifti hapo mkuu nikufundishe
Mipango ya Mungu ila napo ukiamua utapaa kama eliaMbona watu wankufa chini ya Jua vipi hapo?
gharama zake ni zipiTamaa iliua fisi - Lady issa.
Uko tayari kulipa gharama za hilo unalotamani?
Telekinesisninatamani sana kuweza kufanya hili jambo maana kuna video ya megician mmoja anasogeza vitu bila kushika nani atanisaidia
Bado na search tutorial youtube
Uko sahihi mkuu, ni group la watu wengi. Kuna channel huwa wanaonyesha hizo tricks. Kuna moja niliona jamaa anaelea kumbe kwa ndani kavaa koti lenye sumaku halafu nyuma ya camera kuna jamaa mwingine anamnyanyua huyo jamaa kwa mtambo kwa kuunganishwa na sumaku.Wale magicians ni waongo mkuu.
Wengi wao wala sio wana nguvu hizo za kiroho ila wanatumia teknolojia.
Ni ngumu sana kuwabaini ila hukohuko youtube kuna video zinavoonesha jinsi wanavyofanikisha kuwahadaa watu.
Na pia huwa sio mtu mmoja huwa ni crew kabisaa inaandaa mazingira kwa ajili ya jamaa kufanya yake, si unaonaga video ilivyo clear hata haitikisiki ndo ujue kunakua pia na cameraman pale.
Yes ninataka kujua hii kituTelekinesis
mmmhNenda sumbawanga
Nimeku linkYes ninataka kujua hii kitu
Yes ninataka kujua hii kitu
Tafuta mtu akusogezee, hapo unakuwa hujashika wewe