Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

wee matola
umeziona wapi feelings zangu?

Usije kuwa umeona za mdada mmoja nafanya naye kazi
alinipa zake nizipeleke kwa fundi
Ujue niliibiwa pochi juzi pale Tandika kituoni
zilikuwa kwenye pochi
unaweza nisaidia kupata pochi yangu
You can not hide ur identity whatever u can pretend, ni sawa na Kongosho anafurahisha baraza kwa kujifanya SHEMALE, lakini hakuna tatizo lolote kwa muelewa wa Mambo kujuwa kwamba Kongosho ni mwanamke with all woman feelings.
 

siyo kweli hata kidogo
 
First lady1 =29
Smile= 27
Bishanga= 35
Kongosho= 28
Lizzy= 32
Jane_000 = 19 🙂lol::lol🙂
 
Mpita Njia,

Haiwezekani huo kuwa umri wako ha ha ha , sisi tulikuwa wadogo saana na wewe tunakuona unadunda umevaa zile ndula za milosisi ha ha ha ha sasa mpaka leo unachechemea hapo kweli? wewe ni 50 bana, usione haya kaka yangu
Sasa Mluga we unamwaga kuku kwenye mchele mwingi... sorry... mchele kwenye kuku. Au unataka kuniharibia? Mi mwenzio mshamwaga mashairi kwa mtu humu na anafahamu kwua niko chini ya 40! Ebu tulia bana, yale ya zamani yalishapita
 

Then what?
 

ndio maana nakupendaga wewe.
 
ukisha ujua umri kipi kitafuata, humu watu hubadilika kutokana na mazingira ya thread. Wengine humu wanavipara lakini maneno kama pamoko sana hayawapigi chenga

Mkuu Nitonye: umegusa ukweli. Wewe jina lako lingeweza kuwa kigezo!kwanamna gani?Una-trace tu matumizi ya neno nitonye lilitumika zaidi kipindi gani...!hahaha
 


naunga mkono hoja.
 

Nimecheka mkuu!umeua band...!hahaha
 
sasa wanaoanzisha topic kama hizi za kutaka kujua umri wa mtu nao wanakuwa na umri gani? manake ukifikia umri wangu u stop counting and avoid besdeiz
😛hoto:

Mkuu...nmeipenda hiyo ya kuacha kuhesabu besdeiz, wakati Mugabe yeye wala haoni aibu katika hilo.Pokea kama changamoto kwa kumuiga Mugabe!haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…