ukisha ujua umri kipi kitafuata, humu watu hubadilika kutokana na mazingira ya thread. Wengine humu wanavipara lakini maneno kama pamoko sana hayawapigi chenga
naomba ukutane na bishanga plizzzz.ngoja nisikubishie ingawa nilishakutana na mwanajf, yupo tofauti na avatar yake, tofauti na posts zake na sikutaraji kama umri wake ungekuwa ni huo alionao. Kuna mwingine alikuwa anabehave mwanaume na hakuna aliyemtilia mashaka. Akabadili ID na sahivi anabehave kama mwanamke na hakuna anayemtilia mashaka. Ni ngumu kujua. Tuendelee tu kuguess guess.
so bishanga is the oldest here,what makes you think so? acha kunizeeesha bana,Denaaaaa uko wapi kuna mtu hapa anataka nistaafishwe kabla ya muda!First lady1 =29
Smile= 27
Bishanga= 35
Kongosho= 28
Lizzy= 32
Jane_000 = 19 🙂lol::lol🙂
so bishanga is the oldest here,what makes you think so? acha kunizeeesha bana,Denaaaaa uko wapi kuna mtu hapa anataka nistaafishwe kabla ya muda!
angejua............ mi naona umri uko zaidi kichwani mwa mtu more than anything,you could be 30 uka behave na ku sound kama babu wa 60yrs and vice versa.kakustukia umri umekupa mkono mkuu..
Hahaha! Unaogopa kustaafishwa eeh?so bishanga is the oldest here,what makes you think so? acha kunizeeesha bana,Denaaaaa uko wapi kuna mtu hapa anataka nistaafishwe kabla ya muda!
sijajenga!Hahaha! Unaogopa kustaafishwa eeh?
NN = 40-43
FL1=30
LIZZY=27-29
FF=43
ODM=39
DC=38
The Finest=40
King'asti=30
Dena Amsi=32
Ni mawazo yangu tu jamani wala usinishike shati.
Sisi ni ndugu. Tunakutanishwa na mtandao huu na kuwa familia moja japo wengi hatufahamiani. Hata hivyo,nimegundua namna ya kugundua umri wa mwanajumuia hii ya JF.
Kwa namna gani unaweza kubaini umri kwa mfano: Lizzy, Marytina, Katavi, kwa kutaja machache? Njia ni hii: Uandishi na utumiaji wa lugha mfano: bac ma d 2ko pamoko sna!. Huyu anaweza kuwa kati ya 18-25. Japo wapo wenye umri mkubwa zaidi ya hapo wanaweza kuandika hivyo kwa kuambukizwa na wale wenye umri huo kwa kuwasiliana nao mara kwa mara.
Uanzishaji mada: Zipo mada nyingine zinambainisha moja kwa moja mwandishi. Mfano-Kwanini wazee wenyevitambi, upara, mvi wanajirusha pub zenye vijana...? Itakuwa ngumu mwandishi huyu kuwa zaidi ya miaka 40. Atakuwa kati ya 20-30.
Avatar nayo ina matter sana kuugundua umri! (hapa naomba nicheke!)
Mifano ipo mingi. Ila nimetaja michache. Karibu kama unanyongeza au mchango wowote. I stand to be corrected though
sijajenga!
punguza kidogo!Haya mie nakukadiria upya, kati ya 25 mpaka 28. Nimepatia?
naomba ukutane na bishanga plizzzz.
sijajenga!
Haya mie nakukadiria upya, kati ya 25 mpaka 28. Nimepatia?
punguza kidogo!
NN = 40-43
FL1=30
LIZZY=27-29
FF=43
ODM=39
DC=38
The Finest=40
King'asti=30
Dena Amsi=32
Ni mawazo yangu tu jamani wala usinishike shati.
Ebu nikadirie na mimi umri wangu mkuu?
Sisi ni ndugu. Tunakutanishwa na mtandao huu na kuwa familia moja japo wengi hatufahamiani. Hata hivyo,nimegundua namna ya kugundua umri wa mwanajumuia hii ya JF.
Kwa namna gani unaweza kubaini umri kwa mfano: Lizzy, Marytina, Katavi, kwa kutaja machache? Njia ni hii: Uandishi na utumiaji wa lugha mfano: bac ma d 2ko pamoko sna!. Huyu anaweza kuwa kati ya 18-25. Japo wapo wenye umri mkubwa zaidi ya hapo wanaweza kuandika hivyo kwa kuambukizwa na wale wenye umri huo kwa kuwasiliana nao mara kwa mara.
Uanzishaji mada: Zipo mada nyingine zinambainisha moja kwa moja mwandishi. Mfano-Kwanini wazee wenyevitambi, upara, mvi wanajirusha pub zenye vijana...? Itakuwa ngumu mwandishi huyu kuwa zaidi ya miaka 40. Atakuwa kati ya 20-30.
Avatar nayo ina matter sana kuugundua umri! (hapa naomba nicheke!)
Mifano ipo mingi. Ila nimetaja michache. Karibu kama unanyongeza au mchango wowote. I stand to be corrected though!