Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Nenda pole pole, nimetoa maelezo kwa mtu ambaye ni beginner aanzeje na afanyaje.

Hayo maumivu yanapita soon.
Nakumbuka mara ya kwanza kupigishwa chuma....mikono ilikua hainyooki kabisa!! Nikinyoosha ina uma daaah
 
Yea ni hizi nilikua nimetengenezea cocktail lakini siku zinapita vitu vipya vinaibuka hivyo tutaendelea kugeana maujuzi.
Yeah idea zipo mingi kulingan katk mazngra yakk kuna nin.....
 
naanza nimepata wanachama apa napna nilisima kwa muda kidogo ntarud kurudisha mrejesho
 
mbezi beach hakuna local mkuu au maeneo ya tegeta?
 
Kwani huwezi kuonyesha hayo mazoezi yako bila ya kumtaja huyo Rais hapo?
 
mkuu kiafya zoez ile effective kabisa masaa mangap?
Effectiveness katika zoezi haipimwi umefanya zoezi kwa muda gani, ila ni vile utakavyokua serious katika kufanya zoezi lako.
Mfano unaweza ukafanya zoezi la dakika 45 likakupa matokeo ya zaidi ya anayekaa gym masaa 3.

Kevin Levrone alikua akitrain kwa kipindi kifupi tofuti na bodybuilders wengine lakini katika mashindano alikua anascore higher kuliko ambao walitrain kwa muda mrefu.
 
Kwani huwezi kuonyesha hayo mazoezi yako bila ya kumtaja huyo Rais hapo?
Mtu pekee ninayemjua na naamini wengi tunamjua na alipiga push ups hadharani ni huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…