Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaji ni ishu mkuu ndo mana natafuta vibarua,Ingia YouTube zimejaa kozi mbalimbali za kupiga hela kwa mtaji nguvu zako.
Kuna
1. kutengeneza mifagio kwa wingi na kusupply kwa jumla mifagio ya chupa za maji ya kunywa au makuti,au mianzi au majani pori.
2.Kukusanya mibuyu maporini na kujaza magunia
3.Kulima bustani
4.Kuwa dalali mtaji upatajk wa information tu
5 kukaanga mihogo
Hakuna kiwanda hata kampuni za usafi au ulinzi za kiswahili anaelipa zaidi ya elf 5 kwa siku yaan masaa 12.Unaexperience mkuu ?Wa izo kazi na malipo yao ukweli ni hayo?
Kama kuna namna unajishughulisha ni tag bro
Vibarua ni ishu mjini na ujui lini utapata Cha msingi usikae tu home Bora ukashinde njaa mjini utakutana na watu kuliko kushinda ndani ukihesabu mabati uchelewi kusaka ilipo kambaMtaji ni ishu mkuu ndo mana natafuta vibarua,
Naamini kila mtu anapenda kuanzisha cha kwake ama biashara no matter how small it is.
Kweli mkuu na nshajaribu mara kadhaaa shida mjini ukizunguka kila mtu ana mishe zake hata siwezi elewa nizugie, wapi kma unaweza nitag ulipo itakuwa starterVibarua ni ishu mjini na ujui lini utapata Cha msingi usikae tu home Bora ukashinde njaa mjini utakutana na watu kuliko kushinda ndani ukihesabu mabati uchelewi kusaka ilipo kamba
Kaaa kijiwe chochote chenye watu au viwandani nje Pana vijiwe vya wasaka kazi wengi tu utapata info utajenga marafiki wapya mtapeana infoKweli mkuu na nshajaribu mara kadhaaa shida mjini ukizunguka kila mtu ana mishe zake hata siwezi elewa nizugie, wapi kma unaweza nitag ulipo itakuwa starter
Ukweli kwa miaka ya sasa makampuni mengi yamekuwa hayataki makonda maana wapo baadhi ya watu nilio bahatika kuwapeleka ila wengi nilifeli kw changamoto ya kuwa na mabadiliko hayo, mim nilipokuwa kama ww nilipoamua rasmi nijichanganye kwenye udereva kuna jamaa yangu nilisoma nae ndiyo alinichukua mpak nikajua, yeye kwa sasa ni dereva bus ya mikoani nilipofanikiwa badae nilimlipia ada N.I.T kama shukran hili ajiendeleze mana udereva ni passion kwake haswa wa mabus, ila kama unania kweli kupata ujuzi mtaan mana hata mm kabla nilipata ujuz mtaan kila nlipokuwa nkipata nafas angalau uwe na ideaNmekuelewa vzuri na umepangilia vizuri jibu lako
Ungenidokeza pakuanzia ata kujichanganya kupata ata nafasi ya uo ukonda wa malori mku ntashkuru.
ama kama unaweza ukanionganisha mungu akubariki zaidi
asante kwa muda wako kaka...ila wapi nmesema nakuja pm?Sogea karibu na chuo chochote cha karibu...kama Temeke pale kuna Tia...
Tafuta chimbo la kukaanga mihogo...
Weka bei ya chini kabisa ...kipande 100..
Mtaji hazifiki hata laki moja...
Weka Bondi hiyo simu ... Anza..
Utakuwa na uhakika WA zaidi ya elfu 20...kila siku....
Usije pm...uliza hapa hapa
Yani hii ni ishu flani nafkiri inaweza kua hoja nzurii mkuu nipe kajimuongozo , laki iko mkononii naazia wapiiTafuta laki, uwe ma smartphone nzuri, jitupe kkoo uwinga , kuwa mvumilivu, usichoke kupambana. Kuwa mstaarabu na mwenye heshima. Miezi yako sita tu.
Kwa kuanzia ni kujichanganya.Yani hii ni ishu flani nafkiri inaweza kua hoja nzurii mkuu nipe kajimuongozo , laki iko mkononii naazia wapii