Jinsi ya kutoka kwenye hali ngumu na kutafuta fursa za kazi zisizohitaji ujuzi maalum

Jinsi ya kutoka kwenye hali ngumu na kutafuta fursa za kazi zisizohitaji ujuzi maalum

Kazi za vibarua viwandani kama hakuna chance ya kuiba unapoteza nguvu zako tu
 
Ingia YouTube zimejaa kozi mbalimbali za kupiga hela kwa mtaji nguvu zako.
Kuna
1. kutengeneza mifagio kwa wingi na kusupply kwa jumla mifagio ya chupa za maji ya kunywa au makuti,au mianzi au majani pori.
2.Kukusanya mibuyu maporini na kujaza magunia
3.Kulima bustani
4.Kuwa dalali mtaji upatajk wa information tu
5 kukaanga mihogo
Mtaji ni ishu mkuu ndo mana natafuta vibarua,
Naamini kila mtu anapenda kuanzisha cha kwake ama biashara no matter how small it is.
 
Unaexperience mkuu ?Wa izo kazi na malipo yao ukweli ni hayo?
Kama kuna namna unajishughulisha ni tag bro
Hakuna kiwanda hata kampuni za usafi au ulinzi za kiswahili anaelipa zaidi ya elf 5 kwa siku yaan masaa 12.
 
Mtaji ni ishu mkuu ndo mana natafuta vibarua,
Naamini kila mtu anapenda kuanzisha cha kwake ama biashara no matter how small it is.
Vibarua ni ishu mjini na ujui lini utapata Cha msingi usikae tu home Bora ukashinde njaa mjini utakutana na watu kuliko kushinda ndani ukihesabu mabati uchelewi kusaka ilipo kamba
 
Vibarua ni ishu mjini na ujui lini utapata Cha msingi usikae tu home Bora ukashinde njaa mjini utakutana na watu kuliko kushinda ndani ukihesabu mabati uchelewi kusaka ilipo kamba
Kweli mkuu na nshajaribu mara kadhaaa shida mjini ukizunguka kila mtu ana mishe zake hata siwezi elewa nizugie, wapi kma unaweza nitag ulipo itakuwa starter
 
Kweli mkuu na nshajaribu mara kadhaaa shida mjini ukizunguka kila mtu ana mishe zake hata siwezi elewa nizugie, wapi kma unaweza nitag ulipo itakuwa starter
Kaaa kijiwe chochote chenye watu au viwandani nje Pana vijiwe vya wasaka kazi wengi tu utapata info utajenga marafiki wapya mtapeana info
 
Nmekuelewa vzuri na umepangilia vizuri jibu lako
Ungenidokeza pakuanzia ata kujichanganya kupata ata nafasi ya uo ukonda wa malori mku ntashkuru.
ama kama unaweza ukanionganisha mungu akubariki zaidi
Ukweli kwa miaka ya sasa makampuni mengi yamekuwa hayataki makonda maana wapo baadhi ya watu nilio bahatika kuwapeleka ila wengi nilifeli kw changamoto ya kuwa na mabadiliko hayo, mim nilipokuwa kama ww nilipoamua rasmi nijichanganye kwenye udereva kuna jamaa yangu nilisoma nae ndiyo alinichukua mpak nikajua, yeye kwa sasa ni dereva bus ya mikoani nilipofanikiwa badae nilimlipia ada N.I.T kama shukran hili ajiendeleze mana udereva ni passion kwake haswa wa mabus, ila kama unania kweli kupata ujuzi mtaan mana hata mm kabla nilipata ujuz mtaan kila nlipokuwa nkipata nafas angalau uwe na idea
 
Sogea karibu na chuo chochote cha karibu...kama Temeke pale kuna Tia...
Tafuta chimbo la kukaanga mihogo...
Weka bei ya chini kabisa ...kipande 100..
Mtaji hazifiki hata laki moja...
Weka Bondi hiyo simu ... Anza..
Utakuwa na uhakika WA zaidi ya elfu 20...kila siku....

Usije pm...uliza hapa hapa
 
asante kwa muda wako kaka...ila wapi nmesema nakuja pm?
unaposema mtaji haifiki 100k umechunguza au unakadiria kutokana ni mihogo? Bei ya karai, mafuta ya kila siku,mkaa na bei ya mihogo stereo unaifahamu.... apo chuo kukaa nnje ni kweli inaweza kua mtaji ni 100k mkuu? Hutokutana na fee pale
 
Heshima kwenu wakuu, SIHITAJI USHAURI KUTOKA KWA MTU AMBAYE HANA UZOEFU WALA UJUZI WA KITU AMBACHO ANANISHAURI kama kuna mchongo nko tayari.

TUSIUZIANE NDOTO WAKUU NIKO depressed na haya maisha natafuta pakuchomokea naamini vita ipo ushindi upo pia.

Kwasasa nmekwama sina mtaji sina hili wa lile harakati za kunishauri nifungue biashara sidhani kma ni suluhisho kwasabubu haiwezekeni.

Najaribu kusogeza(kusolve)kwanza tatizo la income(mapato) ata kama kidogo aje, then mengineyo yatafuata

Bendera hufuata upepo, maji hufuata mkondo
,Money follows money.

Kibarua aina yeyote, ama mtu ambaye yuko na hali kma yangu tushauriane pm. #mimi sio baunsa viroba kg 50 siviwezi kwakweli😂

Bado nnashida waheshimiwa
 
Tafuta laki, uwe ma smartphone nzuri, jitupe kkoo uwinga , kuwa mvumilivu, usichoke kupambana. Kuwa mstaarabu na mwenye heshima. Miezi yako sita tu.
 
Tafuta laki, uwe ma smartphone nzuri, jitupe kkoo uwinga , kuwa mvumilivu, usichoke kupambana. Kuwa mstaarabu na mwenye heshima. Miezi yako sita tu.
Yani hii ni ishu flani nafkiri inaweza kua hoja nzurii mkuu nipe kajimuongozo , laki iko mkononii naazia wapii
 
Yani hii ni ishu flani nafkiri inaweza kua hoja nzurii mkuu nipe kajimuongozo , laki iko mkononii naazia wapii
Kwa kuanzia ni kujichanganya.
Nenda kkoo, tafuta duka either la vijana au hata wadada wa umri wako.
Unatengeneza urafiki hapo, hiko kitakua kijiwe chako.
Haswa angalia kitu gani unaweza kupenda kuwa unauza, tshirt, magauni, masweta ni wewe hata vyombo, anzia katika kimoja,
Uwe unachukua picha, waombe wakuunge kwenye magroup yao, chukua picha post mitandaoni.
Hadi hapo utakua umeshaanza.
 
Back
Top Bottom