Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Sasa kama una kitu utabidi ufanye.Elf 4 kwa siku ni bora ukaange mihogo
Kungaanga mihogo uko sawa issue n mtaji labd aende viwandan apate mtaji aje kungaang mihogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama una kitu utabidi ufanye.Elf 4 kwa siku ni bora ukaange mihogo
Unafanyia nauli na tumbo,wanaogopa kukupa nyingi kesho hautorudiSasa kama una kitu utabidi ufanye.
Kungaanga mihogo uko sawa issue n mtaji labd aende viwandan apate mtaji aje kungaang mihogo.
Mkuu umenena kila kitu kilichokua kinanijia kichwani, sjui uko level gan ktika maisha ila umeongea vtiu muhim mnooo, ikiwezekana unaeza ni pm mkuu tuongeeUkweli Ni kwamba katika umri huo wengi huwa katika Giza Nene na ili kuchomoka huwa wanasaidiwa na ndugu ,jamaa ,au marafiki ...kama nyumbani kuko vzuri mtaji unapewa na idea ya biashara na MTU wa kukusimamia .......
Kutaka kuchomoka mwenyewe Ni ngumu mnooo ,Tena ngumu ....
Humu wengi watakwambia sijui Uza mihogo ,kuwa winga kariakoo ,jichanganye vijiwen ,nenda viwandani ,jifunze udereva ...ukweli Ni kuwa kote huko kama huna MTU anayekumulikia hata na tochi kukwambia pita hapa ,pita hapa hata huko Hakuna kitu utafanikiwa .....Dunia ya sasa imeharibia ,walimwengu Ni wabaya Sana ,......narudia tena walimwengu Ni wabaya Sana ..,..
Lazima awe na mentor wa kumuongozaUkweli Ni kwamba katika umri huo wengi huwa katika Giza Nene na ili kuchomoka huwa wanasaidiwa na ndugu ,jamaa ,au marafiki ...kama nyumbani kuko vzuri mtaji unapewa na idea ya biashara na MTU wa kukusimamia .......