Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Hofu ,uoga ndio sumu ya hii kitu kiukweli jambo hili Lina faida kama alizo ainisha inaitaji umahiri wa kuhimili mabadiliko hakuna nachokipinga ktk hii thread mi ni miongoni mwa 25% ya waliofanikiwa lkn Mimi msimamizi mkuu wa jambo hili ni MUNGU Kwa kuhakikisha Sina matendo ya chukizo, Sina kisasi, Sina wivu, equal treatment in shot unakuwa binadamu huru ambaye Kwa tasimini hata ukifa Leo unajua familiar itakayokupokea

Binafsi si jambo nafanya mara Kwa mara ila Huwa na tour kutembelea wagonjwa , wapendwa wetu kuwaombea utulivu kuwa ombea watu niliopita ktk mikono Yao Toka nikiwa mtoto mpk Leo kuwasamehe walioniumiza na kuwatembelea kuwapa taarifa kuwa awe huru nimemsamehe kama wezi, wazurumaji, wadaiwa sugu, n.k

ufumbuzi wa malengo yangu kupata picha kamili ya kile naitaji na kile ni mpango was Mungu kwangu mara kadhaa nimefanikiwa
na hats nilipokuwa karibu zaidi nilipata kuona vile natakiwa kuishi Kwa miaka Saba ijayo Niko huru Sina mpango mpya najua Kila kitu mfano lini naacha kazi lini naendakujiendeleza kielimu Nini kitaziba gap la mshahara wangu unaonisaidia Leo baada ya masomo nakuja kuanzia wap yote roadmap ipo na naenda nayo ila MUNGU NA MALAIKA ZAKE NDIO WASIMAMIZI KUNA MDA MARAFIKI WA ROHONI WANANIMISS MAANA HAKUNA KULIA FULL HAPPY FUN
 
Wewe kama umetupanga.....
 
Watajie na kanisa lako lipo wapi. Humu utapata wateja wengi wa Mwamposa watahamia kwako.

Rakims
 
mimi ni muislam
Uliwahi kukisoma kisa cha Israa na Miiraj vizuri kabisa na akili ikiwa imetulia?
Ulishawahi kusoma hadithi za mtume kuhusiana na mambo yanayomkuta mtu akilala?

Kama teyari basi kasome tena.

Kama bado:
Chukua vitabu hivi usome;
  1. Sahih Bukhari
  2. Sahih Muslim
  3. Sunnah Abu-Dawud
  4. Malik Muwatta
  5. Sunna an Nasai
  6. Jami at tirmidhi
  7. sunnah ibn majah
  8. Riyadh Salihin
  9. Al Adab Al Mufrad
  10. Shamail Muhammadiyah
  11. Bukugh al Maram
  12. Hadith Nawawi
  13. Hadith Qudsi
Ukivisoma ukavielewa, Hilo swali hutaniuliza wala hutataka kuni challenge pia utafahamu kwa nini wanazuoni walifundisha kwamba Itafuteni Elimu hata uchina.

Na pia usiniulize ni wapi imeandikwa na ni wapi utaipata ila visome kwa kutafuta elimu ya Astral projection.
Pia unaweza kutaka kusema haraka haraka mbona vingine hadithi hazilengi hiyo Astral projection trust me hutakuta neno Astral projection wala kutoka nje ya mwili isipokuwa utakuta elimu inayohusiana na hilo na kwa undani zaidi. Kisha utaenda kuichimba ulipopata maelekezo.

Rakims
 
Ivi na ile hali kuna nyakat unakuwa unaona kama tukio linalotokea kwa wakat huo lilishawahi kutokea kabla, kuanzia eneo,watu mpk stty mnazoongea zinakua ni zile zile hyo inatokana na nini??
 
Ivi na ile hali kuna nyakat unakuwa unaona kama tukio linalotokea kwa wakat huo lilishawahi kutokea kabla, kuanzia eneo,watu mpk stty mnazoongea zinakua ni zile zile hyo inatokana na nini??
Rakim ashawahi elezea
 
Pia kwa kuongezea .Kuwa hai dunian ni zawadi adimu ambayo ulimwengu huo wanatuonea wivu sana na wanajua sisi ni daraja la juu.huko kuna viumbe wakutisha na wa ajabu wanaweza kukuteka roho utaporudi duniani unarudi nao hivo nao wanapata nafasi kujua dunian kukoje unaweza rudi mwehu (possessed)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…