Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Rakims nkiwa katika hali hiyo naweza kuingia hata benki nisionekane?? naweza kubeba vitu vya uzito wa kawaida??:nod:

cc@pasco

utaingia popote lakini hutaweza kubeba chochote..... kumbuka upo in spirit form naweza kukishika na kukihisi unaweza kupita katikati yake unaweza kumgusa mtu na ukamuhisi lakini kubeba huweza...
 
Last edited by a moderator:

Kupitia Maswali Na Majibu Na Niongeza Zinazotolewa Hapa Pengine Pote Ni Kingereza Tu...
 
Mmmh kumbe kuna mambo makubwa huku. Hivi kuna mashart yoyote katika kujifunza haya mambo?

Ni Sharti Moja Tu Uwe Na Akili Timamu Na Uelewa Maana Sifundishi Watoto Kwenda Kukamata Panzi In Spirit Form...
 
Uchawi wako hauna mwiko kuelezewa waziwazi?
Wa-kiswahili ukitoa siri kama hizi unaadhibiwa na kutengwa kama si kuuwawa kabisa.

Wewe Ni Mchawi? kama sio Una mwenzio ambae ni mchawi.. kama sio umejuaje Wanaadhibiwa Hivyo Hao Wajinga Na Wajinga Wenzao?

N.B Huu Sio Uchawi Ni Nguvu Ya Mtu Binafsi... Highest State Of OneSelf Brain Power..
 
Wewe Ni Mchawi? kama sio Una mwenzio ambae ni mchawi.. kama sio umejuaje Wanaadhibiwa Hivyo Hao Wajinga Na Wajinga Wenzao?

N.B Huu Sio Uchawi Ni Nguvu Ya Mtu Binafsi... Highest State Of OneSelf Brain Power..
Hata uupe jina gani zuri hii ni aina ya uchawi tu.
Kumbuka wenzetu wamagharibi wao hawana soni na yale wayatendayo ndio maana mtu anaweza kujitambulisha kuwa yeye ni mchawi hadharani tofauti na sisi waafrika.
Sasa kwakuwa wewe umeipata elimu hiyo bila kufichwa unaona kama ni kitu cha kawaida tu ila jua hapo unaingizwa katika uchawi bila mwenyewe kujijua.
Ila tnaishi katika dunia huru, Mimi naamini hivyo, nawewe kama unaona ninachokiamini mimi ni potofu hulazimiki kuniamini au kunifuata.
Natumai nimeeleweka.
 


Me nafikiri kama kitu hujui au huna uhakika nadhani ungeacha wanaotaka kujua tufahaamu.

Kama ni dhambi basi zipo nying sana na zote ni makosa kwa muumba.
 
Uamue kutoka ndani ya mwili wako kisha ukitaka kurudi rudi na wewe, ndiyo ushadedi hivyo. Hatariiiii
 
Me nafikiri kama kitu hujui au huna uhakika nadhani ungeacha wanaotaka kujua tufahaamu.

Kama ni dhambi basi zipo nying sana na zote ni makosa kwa muumba.

Naachaje kuongea ilhali cha kuongea ninacho?

Hapa ni umejijibu mwenyewe :"Me nafikiri kama kitu hujui au huna uhakika nadhani ungeacha wanaotaka kujua tufahaamu."
 

Kivipi aisee me sijaelewa naomba ufafanuzi
 
Last edited by a moderator:
Jinsi unavyoacha mwili wako na kuchukua mwili wa spirit form. Je unatumia mda gani na je nikishtuliwa na nlikuwa nshaenda mbali siwezi kupotea
 
Kwweli hii kiboko.... Hapa MziziMkavu nae hajui hii ki2.........?
 
Last edited by a moderator:
Kwa tahadhari hizi, sitakaa nijaribu hata kidogo
 
One question, what happens if somebody decides to kill or steal your body when you are out of it? Would you be able to return?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…