Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Rakims........naomba nieleweshe..........naweza kutoka nikaenda kumtembelea mtu.........?......kuna rafiki zangu nimewamiss halafu wapo mbali.........japo niwaone tu.......maana najua sitaweza kuwaongelesha.............

unaweza na utawaona vema tu...

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Hii inatofauti gani nawachawi wetu au wawanga ambao wanaweza kuingia ndani lkn hawawezi kuondoka hata na sindano?

tofauti yake wao wanategemea shetani na hii unategemea mungu... sawa na kusema kuna tofauti gani kati ya binadamu kula nyama na mchawi kula ya mtu mwenzie? zote nyama tatizo moja halali na nyingine haram...

mkuu rakims nikiwa katika paralyzed state ndo natakiwa niamke hapo au inakuaje maana hata sielewi mkuu
 
Mkuu hiyo njia pita pekeyako..... mie ntaishia kusoma na kufurahia fantasy na mawazo na.....
 
mkuu rakims nikiwa katika paralyzed state ndo natakiwa niamke hapo au inakuaje maana hata sielewi mkuu

mkuu paralysis state inapofika pale ndio waweza kutoka lakini pia ukichelewa kutoka ukiwa kwenye hiyo state waweza kuwa umekosea ukabaki pale kwa sekunde kadhaa umeganda hadi ujistue mkuu

"Rakims"
 
Mtu atajuaje kama hizi nguvu anazo? Au kila mtu amezaliwa nazo?
 
Back
Top Bottom