Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa
"Rakims"
Ndgu Rakims, mim mbona pia hata kama sijalala naweza separate my body na akiri yangu then nkaanza kujifikiria mim ni nani na nkaona hiyo separation like my body na fikra zangu ni tofauti, hii hata kama niko kwenye kelele nkijifikiria hutokea japo sijaelewa inahusiana na hili unalosema ama laa, pia kipi kinanifanya niweze fanya hilo, je kila mtu anaweza?
Does this offend God?
Ndgu Rakims, mim mbona pia hata kama sijalala naweza separate my body na akiri yangu then nkaanza kujifikiria mim ni nani na nkaona hiyo separation like my body na fikra zangu ni tofauti, hii hata kama niko kwenye kelele nkijifikiria hutokea japo sijaelewa inahusiana na hili unalosema ama laa, pia kipi kinanifanya niweze fanya hilo, je kila mtu anaweza?
Does this offend God?
rakims je mtu anaweza kutumia njia hiyo ili kuimarisha nguvu za kiroho kutokana na imani yake?
Kuna mahusiano gani ya sanaa hii na dini ya hindu ?
Imenivutia sana ila sijapata pa kujifunza.
kuoga na kuvaa nguo safi zisizobana n kama kuvaa sanda, vazi maalumu la maiti
Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenzi, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.
Masharti ni haya.
- Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa fungua, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha tuu na kuchange position hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
- Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ndio bora zaidi, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, safari jumla!.
- Hizi ni highest stages za maditation ambazo haziruhusiwa kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari!.
- Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening the "third eye!"
- Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi, kama hujui unataka nini, utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do!. Mtu asikudanganye its is not fun!. Too much knowledge is harmful please don't try!.
Pasco
umeelezea hadi mwisho ndugu rakim lakini sijaona narudije kwenye hali ya awali? je kuna fall back procedure incase something gone wrong? precautions zozote labda?
Anachosema ndugu ''Rakims'' ni kweli kabisa lakini madhara yake yapo kwa kweli. Mfano ikitokea huko ulikokwenda ukakumbana na opposition power ambazo utokea rarely na zikakukabili na kukushinda basi ujue kurudi kwa mwili wa kawaida ni something probable. Watu wengi wanaokutwa dead sometimes hili limechangia!
Ukita kujifunza kuruka japo ni mchana kweupe nenda nchini Malawi kuna mji unaoitwa Lilongwe kuna wataalamu huko watakufundisha namna ya kuruka ila sio kwa nia ya uchawi kuruka Mji mpaka Mji hata kwa wakati wa mchana kweuep unaruka tu. Mkuu KikulachoChakoNgoja nichukue kozi niwe naenda kuwapa hi wazee kijijini maana nauli za mabasi zilishanishinda miaka mingi tu...
Ngoja nifanye mchakato nifike huko......hio kozi itanisaidia sana.............Ukita kujifunza kuruka japo ni mchana kweupe nenda nchini Malawi kuna mji unaoitwa Lilongwe kuna wataalamu huko watakufundisha namna ya kuruka ila sio kwa nia ya uchawi kuruka Mji mpaka Mji hata kwa wakati wa mchana kweuep unaruka tu. Mkuu KikulachoChako