Kuna vitu vinaogopesha, sasa hiyo sijui niite nafsi make sio mwili, inanyanyuka kwenda wapi
huu si uchawi huu? Waafrica hatukunyimwa vyote tena nahisi tumependelewa mnoo
Rakims ukinyanyuka hivo mtu mwingine anaona pia?
hapana hii sio astral projection hii yako ni second sight ni uwezo wa mtu kuhisi uwepo wa mtu akiwa mbali kiasi cha kumvutia hisia za uwepo wake hii hupelekea mtu ikiwa imekolea kusense tatizo na likaja kweli...
Rakims
Asante kwa elimu hii mkuu, lakini je ni vyema kuanza na hii au nianzie kwenye meditation?
Pia nataka kujua kama hii inauhusiano na ile hali ya mtu kuamua kuangalia glass mpaka ikavunjika au kuamua kuangalia kijiko hadi kikajikunja.
inahusiana sana maana unakuwa telekinesis katika astral body...
Rakims
Asante kwa elimu hii mkuu, lakini je ni vyema kuanza na hii au nianzie kwenye meditation?
Pia nataka kujua kama hii inauhusiano na ile hali ya mtu kuamua kuangalia glass mpaka ikavunjika au kuamua kuangalia kijiko hadi kikajikunja.
HahhhhahahhaJF kila kitu kinapatokana kasoro uzima wa milele maana hata kifo unawezae pata hApa
Rakims
samahani naomba kuuliza, eti tunaweza kutoka out na wife kwenda kuenjoy mandhari pamoja? na tukaelewana. na je tunaweza kukutana na watu waliotoka nje ya mwili kama sisi?
Hahahahaha ndugu inaonekana umewaza mbali sana .
Stop around the bush, hii ya glass au kijiko ikoje
Unaangalia kijiko mpaka kinajikunja
(Mi sijafikia huko ila namjua mtu mwenye uwezo huo)
hujafika huko ila ili la kutoka nje ya mwili ushaweza si ndyo?
Nafika mpaka kwenye ganzi kisha najitikisha ili niamke.... Sijawa serious sana na hili, nazingatia zaidi meditation kwa sasa mpaka siku Rakims atakapojibu swali langu
"hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini..."
Hicho kitu huwa kinanitokea naturally thou sijihusishi na hiyo astral projection. ila sikuwahi kufikir zaid ya kuhisi ni jambo la kawaida.
Unakuta akili inafanya kazi ila hakuna connection ya mwili na akili mpaka uji'koki' kujitingisha ndo unarudisha connection.
Mwenzio mara ya kwanza nilipofikaga hiyo stage niliamua kujiinua kitandani hadi nikaweza!!
kuangalia kitandani nilipotoka nikajiona nilivyolala!!