Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #561
Kuna vitu vinaogopesha, sasa hiyo sijui niite nafsi make sio mwili, inanyanyuka kwenda wapi
huu si uchawi huu? Waafrica hatukunyimwa vyote tena nahisi tumependelewa mnoo
Rakims ukinyanyuka hivo mtu mwingine anaona pia?
hapa unaweza ita nafsi lakini ni thought ndio inayokuletea hili...
rakims