Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Pasco! Naweza pata elimu ya kufungua jicho la tatu ?
 
Aisee nimejaribu na ganzi ilianzia kichwani then nikaanza kama kuhisi kuna ukimya mkubwa nikahisi mwili unakufa ganzi,kufikia hapo nilishtuka nikaanza kucheka mwenyewe ila nilikuwa sina nguvu mwili ulikuwa umelegea.Nimejaribu 2nd time nimeshindwa kabisa.
 
acha UZEMBE jaribu tena..!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
nahitaji kujifnza mkuuu mm ni mwanafnz mpya usikasilike lakn mkuu my namba 0763337188
nko sriasi for sure!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
niko siriasii tena
kwa mara ya kwanza nimekutan nahii post wik mbil zilozopita nikawa nasom sielw ila juz tena nikaifungua nikasom uzi fulan hv wa na kuptia naatj ya vitu googl mdo hapo nikawa na uelew wa hii kitu zen afta kwa mara ya kwanz jan hyo nikaanza jarbio la kwanz aseeeee ni noumaaa

aaikwambie mtu ila hakuna kuogopa ukiwa na confidencw yako wallaaa hata hamna shida achana na hv vitisho vya hawa watu hakuna issue ya uchawi ile ni jambo la kaeaida ila tofauti kubww na ndot ni kuwa una kuwa na control ya 100% kama sio basi 90 ya ubongo wako tofauti na ndoto ambazo huwa hatuna cintrol kwa asilimia kam10 hv

MREJESHO KWA MARA YA KWANZA nimefanya hii kitu ila kuna mambo mawili yalikuwa yananishinda haswa nilikuwa nikifkia ile hatua ya ganzi ninavyozidi kuconcentrate katk kuskiliza mapigo ya moyo ili kupinguz mawzo mm akati hui najikuta kam naishiwa pumzi yaani nahisi kam nashindwa kupmua hv sas sjajua hyo ni kawaida tu ama
inasababishwa na mm kuconcetrate mbk katka kuskiliza mapgo ya moyo naomba kujibiw
hili nimelijaribu mara nyingi lakn nikawa ndhindwa
halafu katka zile ganzi
kwangu mm ni kam kuna kitu nilikubain ingawa hamukionglea kama vile kuna phase tatu hvi za GANZI ambazo ukifanikiwa kuvuka hzo basii unakuwa hapo umefanikiwa
ahinda yangu nikitak kuingia phase ya pili nahisi kam vle pumzi imesimama yaani nashindwa kupmua vzuriii basii
najikuta nimeacha ila kiukwelii
ni mara kwanxa lakn nimejitahid kuperform ila naamin nitafanikiwa tuuu mwenye ecperience zaidi alete tusheee[emoji15] [emoji13] [emoji12]
mkuu...
uko serious kweli au UNAJAMBISHA tu....!?
 
 
kaelimu fulan ! naomba kujua
kama nikifaulu hilo zoezi naweza kwenda pale nmb kujisevia vijisent kidogo au la.
 
GOOD...
uko vizuri mkuu...
me pia tangu nimeupitia huu uzi nikavutiwa nao...
na nimekua nikijaribu hili zoezi mara kwa mara ingawa mazingira niliyopo yananipa challenge katika zoezi hili(niko hostel)...
MREJESHO KWA MARA YA KWANZA
tangu nimeanza kujaribu hii kitu jana ndo nimefikia kwenye stage nzuri kidogo...
ilikua saa 9 usiku nilihakikisha watu wote wamelala...
wakati napractice nilifika kwenye stage ambayo mwili wangu wote ulikua na GANZI lakini pia kuna hali ya ajabu pia ilinitokea...
masikioni kwangu nilikua nasikia MVUMO wa ajabu...
sasa nilivofika katika hiyo stage kitu kilichonishinda ni kuweza kuCONTROL pumzi yangu...
nilijikuta kama naishiwa pumzi hivi,mwisho nikarudi katika hali yangu ya kawaida..!


Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Bennie 369 na Rakims mbona mpo kimya sana wakuu..!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
duu nomaa sana mm hii kitu waka sio ngeni kwangu for sure mm pia ni mmoja ya wale walio wahi kutokewa na hii kitu utoton aseee ila nilikuwa siijui kabisaaa hadi kuanzia wiki jan mbili zilzopita akat napitia huu uzu ndo nikagunduaaa daaa yaani hiii ndo inafaa haswaa kusemaaa AMAIZING !!!! mmi kwa asilia yangu kuna mamvo nilitojea kutapebda haswa kutok utotn hadi hiv leo huwez amin
hakuna stuatiin niliyokuwa naifuragia kama nilivokuea naota naelea aagani yaani nee sheedaaa pia unaota unakimbizwa zen unapaaa
ishu nyingne ambayi ni nouna hii imenifanya niamini kuwa hiii ishu ni natural wala sio mazingaombwe maana hata kabla cjawah kuptua huu uzi kuna wakati taklibani zaid ya mara tatu yaani nakuwa naota zen katikati ya ndoti nakuwq kama ALIVE kiain
FULANI hv yaani najikuta katik ndoto naanza kureason mara mbilimbili hivi hapa naota au ni real event!!!!!
ila mara kwanza nikawa naishia kuconclude aah mayb bi real mfano napita kichakani natak kukojoa ila wazo linanijia kabisaa no hapa ni ndoton na sio halisia
more times hii hali inatokea ndio maana nilivptia hiii kiitu cjawa muoga wakufanya ungawa kufany artificial ni ngumu kiani fulani hivii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…