Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenzi, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.

  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa fungua, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha tuu na kuchange position hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ndio bora zaidi, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za maditation ambazo haziruhusiwa kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.

Wito wangu mimi, kama hujui unataka nini, utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do!. Mtu asikudanganye its is not fun!. Too much knowledge is harmful please don't try!.

Pasco
Mkuu Pasco! Naweza pata elimu ya kufungua jicho la tatu ?
 
Aisee nimejaribu na ganzi ilianzia kichwani then nikaanza kama kuhisi kuna ukimya mkubwa nikahisi mwili unakufa ganzi,kufikia hapo nilishtuka nikaanza kucheka mwenyewe ila nilikuwa sina nguvu mwili ulikuwa umelegea.Nimejaribu 2nd time nimeshindwa kabisa.
 
acha UZEMBE jaribu tena..!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Uongo Ulioenezwa kuhusu Astral projection.
1.Sio kweli kwamba ukiwa out of body/nje mwili na mtu akikugusa kwamba unakufa huo ni uongo kwa sabab ingekuwa hivo mimi ningekuwa nishakufa tayar kumbuka wakat nafanya kitandan tulikuwa tunalala wawili jaribu kufikiria vitanda vya hostel vilivyo vidogo afu mlale watu wawili unafikir ni rahis kutokugusana??? pili kama imetokea umetoka nje mwili na mtu akakugusa au kukuamsha ni huwa inatokea km signal fulan kuwa kwenye mwili wako kuwa kuna kitu kinatendeka hivo utajikuta umerud immediately na ukifumbua macho utakuta kweli kuna mtu anakuamsha hiyo mi naelezea kwa uzoefu wangu binafsi... maana hata kipind nipo holiday home nilikuwa naifanya mchana wakat nimelala kwenye kochi na ghafla nikirud kwenye physical body namkuta dogo rasi ananirukiarukia. so wanaosema ukiguswa unakufa watoe ushahid km walikufa zen wakafufuka au ni nan walimuona kafanya AP akaguswa alafu akafa... ikumbukwe pia hata ndoto nazo ni astra lakn yenyewe ni natural, ieleweke pia kuota upo sehem fula na unafanya ishu fulan hyo natural ambayo hujinkontroo yenyewe tofaut AP Ambayo wewe unakuwa una power control na kuamua kipi unataka... na ingekuwa km ni kweli unatoka nje ya mwili inasababisha kufa hata wale wanaoota wapi sehem fulan wangepotelea hukohuko wasingerud na watu weng tu wangekuwa wameshakufa.
2.Kukutana na viumbe wa ajabu mfano wa ghost n.k hii ni kweli . na ndio maana unapofanya astral projection unashauriwa uwe ktk mood nzuri na uondoe negativity zote akilin mwako, ikumbukwe kuwa utakachowaza au kufikiri ndicho utakacho kukutana nacho, ukiwaza kuona mema utayaona,ukiwaza kukutana na marehem fulani utamwona,ukiwaza kukutana na mashetani utayaona pia, ndo maana unashauriwa kuwa specific kuwa unafanya AP ili iweje, uone nn, ujifunze nn n.k??? nakumbuka nishawah kuona watu wa kutisha na ilikuwa ndo mara yangu ya kwanza kuwaona niliogopa sana cha ajab nikajikuta nimerud kwenye mwili wangu ghfla km nimevutwa na sumaku vile... na maanisha kuwa ikumbukwe kati ya mwil wako physical na na mpya kunakua kuna km kamba imewaunganisha, ila kuna mara nyingne kwa upande wangu ila hiyo kamba huwa siioni lakn ninapotaka kurud huwa najikuta nishafika ndan ya mwili bila ya kupotea ni hali ambayo cjajua nitumie maneno gan kuelewesha ila kifupi ni kama mwili wako mpya na uliouacha unakua kama unasumaku hivi ambayo hukuvuta mpaka ulipokuwepo. na pia hata hiyo mizimu haiwez kukudhuru chochote ila sema utajenga uoga na kirud fasta maana utaona inakuogopesha.#ikumbukwe astral projection unakuwa ktk ulimwengu wa kiroho na ulimwengu wa kiroho kuna wema na maovu cha msing ni kukontro mind yako na kuondoa negativity maana utalowaza ndio utakaloliona#
NB:
kuna mambo mengi sana utajifunza ktk huu ulimwengu wa kiroho ambayo ,(ishu ni ww mwenyewe km utautumia kwa kutenda mema au maovu) itakufanya ujione tofaut sana na wengne ila tatzo ni kwamba hv vitu ukiwaambia wengne km si kukuona umechanganyikiwa basi utaonekana we ni mwehu totally au kuoneka wewe ni mchawi na hapa ndio nikapata picha kwa nini hata yesu nae alionekana au kuitwa mchawi...na hata kuambiwa "tuondokee hapa we mchawi" ukifika levo hii ndo utgundua great thkers mfano~ jesus,Mohammed,paul,Aristotle,plato n.k walivyokuwa wanaongea walikuwa wanamaanisha nn???
(binadam weng wanaangamia kwa kukosa maarifa mtu ukisema AP ni uchawi inathibitisha kua hujui AP maanake ni nini na uchawi pia hujui maanake nini...hence dat AP tz lyk dream whch u control urself)
ni uwezo ambao wameushikilia wachache na wanatumia nguvu zao zote ili kuwafanya wengne wasiujue, hivo watawatisha na kuwakatisha tamaa hili tu wao waendelee ku shine»»»»
nahitaji kujifnza mkuuu mm ni mwanafnz mpya usikasilike lakn mkuu my namba 0763337188
nko sriasi for sure!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
niko siriasii tena
kwa mara ya kwanza nimekutan nahii post wik mbil zilozopita nikawa nasom sielw ila juz tena nikaifungua nikasom uzi fulan hv wa na kuptia naatj ya vitu googl mdo hapo nikawa na uelew wa hii kitu zen afta kwa mara ya kwanz jan hyo nikaanza jarbio la kwanz aseeeee ni noumaaa

aaikwambie mtu ila hakuna kuogopa ukiwa na confidencw yako wallaaa hata hamna shida achana na hv vitisho vya hawa watu hakuna issue ya uchawi ile ni jambo la kaeaida ila tofauti kubww na ndot ni kuwa una kuwa na control ya 100% kama sio basi 90 ya ubongo wako tofauti na ndoto ambazo huwa hatuna cintrol kwa asilimia kam10 hv

MREJESHO KWA MARA YA KWANZA nimefanya hii kitu ila kuna mambo mawili yalikuwa yananishinda haswa nilikuwa nikifkia ile hatua ya ganzi ninavyozidi kuconcentrate katk kuskiliza mapigo ya moyo ili kupinguz mawzo mm akati hui najikuta kam naishiwa pumzi yaani nahisi kam nashindwa kupmua hv sas sjajua hyo ni kawaida tu ama
inasababishwa na mm kuconcetrate mbk katka kuskiliza mapgo ya moyo naomba kujibiw
hili nimelijaribu mara nyingi lakn nikawa ndhindwa
halafu katka zile ganzi
kwangu mm ni kam kuna kitu nilikubain ingawa hamukionglea kama vile kuna phase tatu hvi za GANZI ambazo ukifanikiwa kuvuka hzo basii unakuwa hapo umefanikiwa
ahinda yangu nikitak kuingia phase ya pili nahisi kam vle pumzi imesimama yaani nashindwa kupmua vzuriii basii
najikuta nimeacha ila kiukwelii
ni mara kwanxa lakn nimejitahid kuperform ila naamin nitafanikiwa tuuu mwenye ecperience zaidi alete tusheee[emoji15] [emoji13] [emoji12]
mkuu...
uko serious kweli au UNAJAMBISHA tu....!?
 
ni mara kwanxa lakn nimejitahid kuperform ila naamin nitafanikiwa tuuu mwenye ecperience zaidi alete tusheee

#NO DEFEAT UNTIL WE STOP TRYING!"
 
kaelimu fulan ! naomba kujua
kama nikifaulu hilo zoezi naweza kwenda pale nmb kujisevia vijisent kidogo au la.
 
niko siriasii tena
kwa mara ya kwanza nimekutan nahii post wik mbil zilozopita nikawa nasom sielw ila juz tena nikaifungua nikasom uzi fulan hv wa na kuptia naatj ya vitu googl mdo hapo nikawa na uelew wa hii kitu zen afta kwa mara ya kwanz jan hyo nikaanza jarbio la kwanz aseeeee ni noumaaa

aaikwambie mtu ila hakuna kuogopa ukiwa na confidencw yako wallaaa hata hamna shida achana na hv vitisho vya hawa watu hakuna issue ya uchawi ile ni jambo la kaeaida ila tofauti kubww na ndot ni kuwa una kuwa na control ya 100% kama sio basi 90 ya ubongo wako tofauti na ndoto ambazo huwa hatuna cintrol kwa asilimia kam10 hv

MREJESHO KWA MARA YA KWANZA nimefanya hii kitu ila kuna mambo mawili yalikuwa yananishinda haswa nilikuwa nikifkia ile hatua ya ganzi ninavyozidi kuconcentrate katk kuskiliza mapigo ya moyo ili kupinguz mawzo mm akati hui najikuta kam naishiwa pumzi yaani nahisi kam nashindwa kupmua hv sas sjajua hyo ni kawaida tu ama
inasababishwa na mm kuconcetrate mbk katka kuskiliza mapgo ya moyo naomba kujibiw
hili nimelijaribu mara nyingi lakn nikawa ndhindwa
halafu katka zile ganzi
kwangu mm ni kam kuna kitu nilikubain ingawa hamukionglea kama vile kuna phase tatu hvi za GANZI ambazo ukifanikiwa kuvuka hzo basii unakuwa hapo umefanikiwa
ahinda yangu nikitak kuingia phase ya pili nahisi kam vle pumzi imesimama yaani nashindwa kupmua vzuriii basii
najikuta nimeacha ila kiukwelii
ni mara kwanxa lakn nimejitahid kuperform ila naamin nitafanikiwa tuuu mwenye ecperience zaidi alete tusheee[emoji15] [emoji13] [emoji12]
GOOD...
uko vizuri mkuu...
me pia tangu nimeupitia huu uzi nikavutiwa nao...
na nimekua nikijaribu hili zoezi mara kwa mara ingawa mazingira niliyopo yananipa challenge katika zoezi hili(niko hostel)...
MREJESHO KWA MARA YA KWANZA
tangu nimeanza kujaribu hii kitu jana ndo nimefikia kwenye stage nzuri kidogo...
ilikua saa 9 usiku nilihakikisha watu wote wamelala...
wakati napractice nilifika kwenye stage ambayo mwili wangu wote ulikua na GANZI lakini pia kuna hali ya ajabu pia ilinitokea...
masikioni kwangu nilikua nasikia MVUMO wa ajabu...
sasa nilivofika katika hiyo stage kitu kilichonishinda ni kuweza kuCONTROL pumzi yangu...
nilijikuta kama naishiwa pumzi hivi,mwisho nikarudi katika hali yangu ya kawaida..!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Bennie 369 na Rakims mbona mpo kimya sana wakuu..!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
duu nomaa sana mm hii kitu waka sio ngeni kwangu for sure mm pia ni mmoja ya wale walio wahi kutokewa na hii kitu utoton aseee ila nilikuwa siijui kabisaaa hadi kuanzia wiki jan mbili zilzopita akat napitia huu uzu ndo nikagunduaaa daaa yaani hiii ndo inafaa haswaa kusemaaa AMAIZING !!!! mmi kwa asilia yangu kuna mamvo nilitojea kutapebda haswa kutok utotn hadi hiv leo huwez amin
hakuna stuatiin niliyokuwa naifuragia kama nilivokuea naota naelea aagani yaani nee sheedaaa pia unaota unakimbizwa zen unapaaa
ishu nyingne ambayi ni nouna hii imenifanya niamini kuwa hiii ishu ni natural wala sio mazingaombwe maana hata kabla cjawah kuptua huu uzi kuna wakati taklibani zaid ya mara tatu yaani nakuwa naota zen katikati ya ndoti nakuwq kama ALIVE kiain
FULANI hv yaani najikuta katik ndoto naanza kureason mara mbilimbili hivi hapa naota au ni real event!!!!!
ila mara kwanza nikawa naishia kuconclude aah mayb bi real mfano napita kichakani natak kukojoa ila wazo linanijia kabisaa no hapa ni ndoton na sio halisia
more times hii hali inatokea ndio maana nilivptia hiii kiitu cjawa muoga wakufanya ungawa kufany artificial ni ngumu kiani fulani hivii
 
Back
Top Bottom