Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mi hata sielewi sasa huko unapoenda unapaonaje, kwa mfano tuu, mm nataka kwrnda America, c ndio, ila mimi siijui America kabisa, zaidi ya kuiona ktk media, sasa si naweza kufika nchi nyingine alaf nikahisi nipo tayar America? Kingine mm naweza kutoka ktk mwili wangu, ila nikiona nimeucha tuu asee huwa nahisi nishakufa na najitahidi sana niamke, sasa shida nyingine niliyonayo mimi huwa hii hali yanitokea bila kujiandaa kama nilivyosoma awali, pili mm hunitokea nnapolala mchana, yaani karibia wakat wote ni mchana, pia kuna tukio flani hivi niliwahi cjui ndio kuota au kutoka ktk mwili/ mtanisamehe bure kama nakosea, ila na mm nahitaji kufaham na nnaamin hapa majibu yapo, niliwahi ota ama toka, wakati huo nilikuwa mwananyamala dar/ nilipotoka/ ota nikajiona nipo Iringa natembeatembea mitaa ya miyomboni, lakini ghafla nikaona kama kuna dada ana asili ya kihindi yupo upande wa pili wa barabara anamuita kijana mmoja ambaye yupo upande niluosimama mimi, anamwita mfano wa kumwita mtu kwa ishara bila ya sauti, kishawakati yule kijana anaenda kulikuwa na basi linakuja kwa kasi, yale mabasi ya kizamani leyland, likamgonga yule kijana, ajabu nikamuona yule dada muhindi anafurahia kisha akaanza kunywa damu ya yule kijana, hapo nikajigundua kuwa naota, ila wakati najilazimisha kuamka, nikaamka na kuuona mwili wangu ukiwa umelala na mimi nimeusimamia kwa pembeni, wakati nashangaa, akaja yule dada mwarabu/ muhindi niliyomuona kule iringa, akaniambia kwamba mbona umenikimbia kule, sikia umejua mimi ni nani na umejua kama ile ajar nimeisababisha sasa unayaona yale maji, mle chumbani kulikuwa na beseni huwa tunaifadhia vyombo ama maji, na wakati naenda kupumzika ile saa nne asubui kulikiwa na maji, akaniambia unaonabile damu ktk beseni? Nikamjibu yale ni maji, akasema angalia vizur, nikaangalia nikaona yanabadilika kuwa dam nikaona huu sasa msala, nikaanza jilazimisha niamke huku yeye akiuliza unataka kwenda wapi? Akaanza nikaba, kwa kweli nilifurukuta hata nipoamka niliamka kama mwehu hivi, nikajigusa shingoni nikiwa na alama za kucha, sasa hapa sijajua nilikuwa nakabwa kweli au nilikuwa najikaba mwenyewe
 
Mkuu dah hata mimi huwa napata taabu sana manake kuna wakati huwa naota mambo ya kutisha nikijilazimisha niamke ndo inakuwa mbinde aisee ama kweli dunia ina mambo.
 
Nakumbuka kabla sijweza kuicontrol hali kama yako usingizi ulikuwa mchungu sana!!
 
Duuh ngoja nimuite Me too aje ajaribu halafu alete mrejesho hapa manake mimi naogopa nisije kukata uzi mweupe nikaenda mazima.
ahah we #dola nani anatak afe huku unajiona mashart lukuki ukiteleza tu umekufa kwahyo? na imagne nimejitoa kivul mwil nauacha alaf watu waje akat sipo wajue n marhemu wanizke alaf nirudi mizuNgukO yangu mwili orginal nisiukute ile silver itagongana wapi mpaka ni rudi mwenyewe orginal!!!!!!! Hii kitu ni kama soja kwenda vitan kwahyo kuna ma2 kufa/ kupona vitani.
 
Mtoa uzi!!!!! hicho kivuli kikitembea kinaonwa na watu wengne au kinaonwa na vivuli vyenzie?
 
Teh teh teh teheee!!! huwezi kufa kirahisi hivyo mkuu... unapokuwa umeuacha mwili wako ile wanayoita silver cord inakuwa inatuma taarifa ya nini kinaendelea kwenye mwili wako.
Kwa mfano mimi mwenyewe ninapokuwa nje ya mwili mtu akiingia chumbani kuniamsha huwa namsikia na hurudi haraka kwenye mwili kisha naamka!!!
 
Evil practices...ni Machukizo kwa mwenyezi MUNGU
 
Eeh mzee nipe elimu hii zaidi....
 
mkuu paralysis state inapofika pale ndio waweza kutoka lakini pia ukichelewa kutoka ukiwa kwenye hiyo state waweza kuwa umekosea ukabaki pale kwa sekunde kadhaa umeganda hadi ujistue mkuu


"Rakims"
Ni kipi unachotakiwa kuanza kukitoa katika paralysis state, kichwa mikono au miguu?
 
Ni kipi unachotakiwa kuanza kukitoa katika paralysis state, kichwa mikono au miguu?
Kwa kutumia uzoefu wangu marachache huwa naamka mzima mzima, lakini maranyingi huwa nachomoka automatically na kujikuta naelea!!
 
Kwa kutumia uzoefu wangu marachache huwa naamka mzima mzima, lakini maranyingi huwa nachomoka automatically na kujikuta naelea!!

Duh inatisha.

Vipi tofauti yake na ile ya kujiona upo sehemu fulani kuna vitu unafanya, unakutana na watu tofauti tofauti unaishi sehemu nyingine au kufanya shughuli eneo tofauti na unalofanya au kuishi. Unakutana na watu tofauti na sura zao zinakukaa akilini, mitaa na kila kitu. Baada ya muda kwenye maisha ya kawaida vyote nilivyoorodhesha hapo vinatokea na nakuwa nakumbuka kuwa hii ilishanitokea ndotoni.

Hii ni hali gani? Kipi kinasababisha? Madhara yake ni yapi? mimi inanitesa sana hali hii.
 
Ngoja leo nijaribu kwenda UK [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hiyo kitu mimi pia hunitokea lakini sipendi kuifuatiliaa kuna mtu anaitwa pasco alishaielezea kwenye uzi wake hapa chini!!
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, Wewe Unazo?
 
Aaaah?! Ndo kutoka kwenyewe huko!! In automatic lakini nakushauri usijaribu tena MAANA ushapata msara na ka jin ka kihindi!
 
Hili ni ajabu LA 1 LA dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…