Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu OBE DREAM NI NDOTO ZA AINA GANI
Baada Ya Kutoka Nje Ya Mwili Na Kujiona Upo Nje Ya Mwili Unaanza Kuwaza Wazi Hovyo Hayo Mawazo Ndio Yanakupoteza Na Kusababisha Silver Cord Kukuvuta Kwenye Mwili Hali Ya Kuwa Huelewi Na Haucontrol Mwili Wako Wa Astral Body Mawazo Yanabaki Spirit World Mwili Unarudi Unaanza Kuota Lucid Dream Bila Kujielewa Na Unaiongoza Mfano Huyo Mkuu Hapo Juu Alivyomuona Huyo Bibie Indian Angemshika Akamrarua Makofi Akampuliza Akapotea Ndio Angejua Anaota Tu...


Rakims
 
Kulala bila kutumia chandaruana. Sehem ina mbu ni kujiua,,kuumwa na kumeza panadol bila kwenda hosp n kujiua,, kula viagra n kujiua,, kula chakula chenye mafuta mengi mf.chips n kujiua,, kutembea na mke wa mtu n kujiua,, kusex bila kondom na hamjapima n kujiua,, kujenga nyumba ktk bonde n kujiua,, kuendesha gar spid kubwa n kujiua,, bila kusahau kunywa pombe na kuvuta sigara n kujiua,, ama unazungumzia kujiua kwa stail yangu??? Ww ushajiua kwa mangapi?? TAFAKARI
CHUKUA HATUA!! [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
1. Je kama ikitokea mwili wako umehamishwa wakati haupo itakuwaje? 2. watu wakiusemesha mwili wako utasikia au kuwaona? au wakiutikisa utashituka?
Nitakujibu Lakini Next Time Uwe Unasoma Quotes Zilizopita Hii Nikishajibu Hata Mtu Akiuangalia Au Kuukaribia Wewe Zile senses unaskia na kuhisi hata akikusemesha unaelewa na kuskia hata kama uko mwezini... Wanaotumia Darkness Power Mfano Wanga Ndio Hawasikii Wala Kuhisi Maana Pale Huacha Something Instead of body Na Kuvisha Umbeli lake...

Rakims
 
Nitakujibu Lakini Next Time Uwe Unasoma Quotes Zilizopita Hii Nikishajibu Hata Mtu Akiuangalia Au Kuukaribia Wewe Zile senses unaskia na kuhisi hata akikusemesha unaelewa na kuskia hata kama uko mwezini... Wanaotumia Darkness Power Mfano Wanga Ndio Hawasikii Wala Kuhisi Maana Pale Huacha Something Instead of body Na Kuvisha Umbeli lake...

Rakims
[emoji106] iko poa iyo
 
Kwanza Kabisa Unatakiwa Ufahamu Kuwa Ninachofundisha Hapa Ni Kwa Beginners Na Simple Way Hakuna Wa Kukuona Katika Astral Planet Hadi Umfanye Akuone Kama Ni Dark Spirits Wao They Sense Your Fear Lakini Light Spirits Wanasense Your Belief Ndio Maana Kwenye Meditation Huwa Tunawaita Ili Wakuangalie Na Kukulinda Na Dark Spirits Na Muwakil Mmoja Anaweza Kuuwa Mapepo 100 Kwa Sekunde Chache Tu Ndio Maana Kwenye Meditation Huwa Hawasogei Maana Unakuwa Close To Your Soul...

Sijui Nimeeleweka Mkuu,


Rakims
Nakuelea endelea kufunguka,nitakujibu maswali yako baadaye.
 
Umejihisi Mwepesi Kwa Tendo Ulilolifanya Je Unadhani Ni Mwepesi Baada Ya Kutoa Sperms Au Baada Ya Astral Body Yako Kuwa Sucked By The Creature You Call Woman?

Rakims
Mmh mkuu mbona kama unanikatisha tamaa nisirudie tenaaa!!
 
Back
Top Bottom