issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
tupe uzoefu wako kwanza, umeshasafiri mara ngapi?Kusafiri na kuona dunia jinsi ilivyo kwani watu waaokwenda angani wanakwenda kufanya nini huko miaka ya nyuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupe uzoefu wako kwanza, umeshasafiri mara ngapi?Kusafiri na kuona dunia jinsi ilivyo kwani watu waaokwenda angani wanakwenda kufanya nini huko miaka ya nyuma?
Mkuu hicho kitu unachotaka kufanya kwa maelezo mengine wanita close to death experience.Unaweza uka rest in peace kabla ya muda wako.Hawa jamaa wanao enda nje ya mwili hawawi wawazi huko wanakoenda mwenyeji wao ni nani?Ebanaee haya mambo yana wenyewe!!
Nimejaribu ila duh! nikaanza kuhisi pumzi inayoyoma/inapungua..! nikahairisha.
vipi mambo ndo hua hivyo ama me nimepita wrong way...?
mkuu wewe ulishawahi kujaribu?... unaweza kunielekeza vizuri kuhusu uenyeji?Mkuu hicho kitu unachotaka kufanya kwa maelezo mengine wanita close to death experience.Unaweza uka rest in peace kabla ya muda wako.Hawa jamaa wanao enda nje ya mwili hawawi wawazi huko wanakoenda mwenyeji wao ni nani?
Kila sehemu kuna wanaotawala ,huwezi toka Tanzania na kuingia Kenya bila kufuata utaratibu unaweza ukaingia matatizoni.Hata katika ulimwengu wa roho kila eneo kuna wanaomiliki na kutawala eneo hilo huwezi pita salama kama hawakujui lazima mtapambana.Waseme leo wenyeji wao ni nani?
Sijawahi na sina mpango,labda itokee kwangu lakini iwe inaongozwa na Mungu maana yake yeye atanipa wa kuniongoza lakin si hii ya kujifanyia kisha unakutana na roho chafu ambazo zinaweza kukudhuru.mkuu wewe ulishawahi kujaribu?... unaweza kunielekeza vizuri kuhusu uenyeji?
Ndio ulikuwa unaelekea kuweza. Unafika stage ambayo utahisi hupumui kabisa na ukimya kutawala na hatimaye utaamua utoke ukatalii wapiEbanaee haya mambo yana wenyewe!!
Nimejaribu ila duh! nikaanza kuhisi pumzi inayoyoma/inapungua..! nikahairisha.
vipi mambo ndo hua hivyo ama me nimepita wrong way...?
Duh! mambo haya si mchezo.Ndio ulikuwa unaelekea kuweza. Unafika stage ambayo utahisi hupumui kabisa na ukimya kutawala na hatimaye utaamua utoke ukatalii wapi
Bado sijafanikiwa kwa 100%, faida nilizoona ni kuwa na furaha muda wote, nimeongeza umakini kwenye maisha yangu, kuna tabia mbaya na mawazo mabaya nimeweza kucontrol nk.Duh! mambo haya si mchezo.
we ulishafanya hivyo ukapata faida gani..?
au kuna nini amaizing kitakuwa faida kwangu..?
Ukifikisha 100% utaniambia ili uwe mwalimu wangu..Bado sijafanikiwa kwa 100%, faida nilizoona ni kuwa na furaha muda wote, nimeongeza umakini kwenye maisha yangu, kuna tabia mbaya na mawazo mabaya nimeweza kucontrol nk.
Kumbuka hii kutoka nje ya mwili ni mojawapo ya mazoezi ya meditation.
Bado najitahidi kijifunza hili zoezi sana maana walimu wangu wananiambia kwamba ukishaweza kutoka nje ya mwili kwa usahihi unajitambua vizuri pia kugundua vipaji vyako na kuichukua nguvu zako.
Yaani kiujumla haya mambo humbadilisha mtu kuwa wa tofauti sana, hata kama ulikuwa mtu wa maugomvi kila siku utashangaa unakuwa mtulivu.
Walimu wako..!!?Bado sijafanikiwa kwa 100%, faida nilizoona ni kuwa na furaha muda wote, nimeongeza umakini kwenye maisha yangu, kuna tabia mbaya na mawazo mabaya nimeweza kucontrol nk.
Kumbuka hii kutoka nje ya mwili ni mojawapo ya mazoezi ya meditation.
Bado najitahidi kijifunza hili zoezi sana maana walimu wangu wananiambia kwamba ukishaweza kutoka nje ya mwili kwa usahihi unajitambua vizuri pia kugundua vipaji vyako na kuichukua nguvu zako.
Yaani kiujumla haya mambo humbadilisha mtu kuwa wa tofauti sana, hata kama ulikuwa mtu wa maugomvi kila siku utashangaa unakuwa mtulivu.
sasa mkuu, kama hujawahi unauhakika upi na suala la uenyeji? unauhakika upi kama hawa wanaofanya hawaongozwi na mungu? unauhakika upi kama utakutana na roho chafu.Sijawahi na sina mpango,labda itokee kwangu lakini iwe inaongozwa na Mungu maana yake yeye atanipa wa kuniongoza lakin si hii ya kujifanyia kisha unakutana na roho chafu ambazo zinaweza kukudhuru.
Kuna group fulani whatsapp tunajifunza wengi mkuu, kwa sasa tuko mbali hivyo sidhani kama mwalimu atakubali kukuongezaWalimu wako..!!?
Wanapatikana wapi hao walimu mkuu..?
Na mimi natafuta mwalimu..!
Au wewe unaweza kuwa mwalimu wangu pia..!
Me huwa nafikia stage ya mwili kuwa paralysed na kusikia sauti kama ya mawimbi fulani hivi...
Ila nikifikia hiyo stage najikuta naingiwa na UOGA wa ajabu...
Mwisho narudi kwenye hali ya kawaida..!
Mshawishi atutengenezee lingineKuna group fulani whatsapp tunajifunza wengi mkuu, kwa sasa tuko mbali hivyo sidhani kama mwalimu atakubali kukuongeza
Kuna group fulani whatsapp tunajifunza wengi mkuu, kwa sasa tuko mbali hivyo sidhani kama mwalimu atakubali kukuongeza
kama kuna uwezekano wa kujiunga kwenye ilo group la whatts up ningefurahi sana ningejifunza mengi kuhusu astral projection
Mshawishi atutengenezee lingine
Kwani haiwezekani na sisi tukatengeneza kundi la WhatsApp..!?Ukifikisha 100% utaniambia ili uwe mwalimu wangu..
napenda maarifa mapya
Hebu nas tufanye wadauKwani haiwezekani na sisi tukatengeneza kundi la WhatsApp..!?
Alafu tukawa tunaelekezana..?
Wale wazoefu kidogo wakawa walimu wa wale wanaoanza..?
Jamani tujaribu kushare hii elimu!!!
Inawezekana kabisa mkuu..!Hebu nas tufanye wadau
Mm huweza kufanya hayo nikiwa juu ya maji yaan baharin ...huwa nafanya hiv nalala kwa mgongo najiachia mwil ili nisihis kama niko kwenye maji nikajichanganya nafumba macho....basi naweza kulala hata dk30 ikiwa tu maji ya bahar nayo yametulia na bila kuhis kama n mm nakuwa tofaut kabiaa ubongo hauwaz chochoteASTRAL PROJECTION/Mental Projection......
Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...
Kutoka Ap Humfanya Mtu Kwenda Popote Duniani Ki Mawazo Na Kufarijika Nafsi Yake Na Kujifunza Mambo Tofauti Ya Sehemu Jirani Na Kupaa Au Kupita Katikati Ya Ukuta Kama Mchawi Vile....
Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua
25% Ni Watu Wanaoijua
10% Ni Watu Wanaoitumia..
Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili
Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...
Njia Hizo Ni:
1; self Astral P...
2: Astral By Binaural
HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:
NI RAHISI TU....
1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana
2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....
3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....
4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...
5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)
6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati WA Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)
7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana
8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...
Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?
Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine
9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......
10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....
ANGALIZO:
Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....
Cc: Pasco , mshana jr , MziziMkavu
By: Rakims