George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ngoja tumsubiri bwana aretasludovick...
Naona bado hajarespond..!
Naona bado hajarespond..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh..!Mm huweza kufanya hayo nikiwa juu ya maji yaan baharin ...huwa nafanya hiv nalala kwa mgongo najiachia mwil ili nisihis kama niko kwenye maji nikajichanganya nafumba macho....basi naweza kulala hata dk30 ikiwa tu maji ya bahar nayo yametulia na bila kuhis kama n mm nakuwa tofaut kabiaa ubongo hauwaz chochote
Ooh..!
Utakuja kufa maji siku moja mwanamama..![/QUUnaogopa kifo??
Mkuu OBE DREAM NI NDOTO ZA AINA GANIHii Inatokea Wakati Unatoa Kiwili Wili Akili Na Hisia Zinabaki Nyuma, Sio Mbaya Wengi Wanajikuta Wakifanya Hivyo Yule Dada Muhindi Alivyomuita Yule Mtoto Ile Ilikua Tayari Ni OBE Dream Na Jinsi Ulivyorudi Still Bado Ilikuwa Hiyo Hiyo,
Ulijikaba Mwenyewe Katika Kuparangana Kutoa Mikono Ya Yule Dada
NB: Watoto Wana Powerful AURAS no One Can Harm Them In OBE...
Rakims
Kulala bila kutumia chandaruana. Sehem ina mbu ni kujiua,,kuumwa na kumeza panadol bila kwenda hosp n kujiua,, kula viagra n kujiua,, kula chakula chenye mafuta mengi mf.chips n kujiua,, kutembea na mke wa mtu n kujiua,, kusex bila kondom na hamjapima n kujiua,, kujenga nyumba ktk bonde n kujiua,, kuendesha gar spid kubwa n kujiua,, bila kusahau kunywa pombe na kuvuta sigara n kujiua,, ama unazungumzia kujiua kwa stail yangu??? Ww ushajiua kwa mangapi?? TAFAKARINaogopa kujiua..!
Dooh...Kulala bila kutumia chandaruana. Sehem ina mbu ni kujiua,,kuumwa na kumeza panadol bila kwenda hosp n kujiua,, kula viagra n kujiua,, kula chakula chenye mafuta mengi mf.chips n kujiua,, kutembea na mke wa mtu n kujiua,, kusex bila kondom na hamjapima n kujiua,, kujenga nyumba ktk bonde n kujiua,, kuendesha gar spid kubwa n kujiua,, bila kusahau kunywa pombe na kuvuta sigara n kujiua,, ama unazungumzia kujiua kwa stail yangu??? Ww ushajiua kwa mangapi?? TAFAKARI
Nitaacha kulala bila kutumia chandarua..!Kulala bila kutumia chandaruana. Sehem ina mbu ni kujiua,,kuumwa na kumeza panadol bila kwenda hosp n kujiua,, kula viagra n kujiua,, kula chakula chenye mafuta mengi mf.chips n kujiua,, kutembea na mke wa mtu n kujiua,, kusex bila kondom na hamjapima n kujiua,, kujenga nyumba ktk bonde n kujiua,, kuendesha gar spid kubwa n kujiua,, bila kusahau kunywa pombe na kuvuta sigara n kujiua,, ama unazungumzia kujiua kwa stail yangu??? Ww ushajiua kwa mangapi?? TAFAKARI
Semeni watu tuweke number mapemaHebu nas tufanye wadau
1. Je kama ikitokea mwili wako umehamishwa wakati haupo itakuwaje? 2. watu wakiusemesha mwili wako utasikia au kuwaona? au wakiutikisa utashituka?NB: Kurudi Kwenye Mwili Wako Ukitaka Unarudi Tu Bila Tatizo Wala Kuukosa Hakuna Tatizo... Waweza Hata Kufumba Macho Ukataka Ukifumbua Uamke Kwenye Mwili Wako Unaamka au unagonga kidole au unajiambia ni muda wa kuamka
unaamka binafsi huwa narudi zangu kwenye mwili wangu nikiusogelea karibu zaidi au kutaka kuugusa naamka
Rakims
Mimi nilisafiri jana nililala na mke wa mtu, leo najiona mwepesiii....mpaka rahatupe uzoefu wako kwanza, umeshasafiri mara ngapi?
Naitaji Kukutana Na Idadi Zaidi Ya Wanafunzi Wangu OBE Ili Tuwe Tuna Prove Wengi Hii Kitu Sio Wawili Watatu...Hizo nguvu za kutenda hayo zinatoka wapi..
Fanya hima mkuu...Naitaji Kukutana Na Idadi Zaidi Ya Wanafunzi Wangu OBE Ili Tuwe Tuna Prove Wengi Hii Kitu Sio Wawili Watatu...
Ndio Maana Nahitaji Kufundisha Free Hata Hivyo Nikisema Sh 100 mia kila mwanafunzi watasema wametapeliwa... bora ufundishe free kwenye mia hakosi mmoja kufaulu... ambaye yupo Serious...
Rakims
Kwa Kuanza Unatakiwa Usipoteze Breath Control Maana Ukipoteza Hiyo Hata Kutoka Huwezi Unatakiwa Uuache Mwili Kwenye Dream State Ambayo Inaanzia Kwenye Safe Body Paralyses Hapo Ndio Geti La Astral Projection Na Lucid Dream Ukichelewa Tu Unakuwa Umeingia Lucid DreamEbanaee haya mambo yana wenyewe!!
Nimejaribu ila duh! nikaanza kuhisi pumzi inayoyoma/inapungua..! nikahairisha.
vipi mambo ndo hua hivyo ama me nimepita wrong way...?
Wewe Ulishatoka Au Unazungumzia Movies Mkuu?Mkuu hicho kitu unachotaka kufanya kwa maelezo mengine wanita close to death experience.Unaweza uka rest in peace kabla ya muda wako.Hawa jamaa wanao enda nje ya mwili hawawi wawazi huko wanakoenda mwenyeji wao ni nani?
Kila sehemu kuna wanaotawala ,huwezi toka Tanzania na kuingia Kenya bila kufuata utaratibu unaweza ukaingia matatizoni.Hata katika ulimwengu wa roho kila eneo kuna wanaomiliki na kutawala eneo hilo huwezi pita salama kama hawakujui lazima mtapambana.Waseme leo wenyeji wao ni nani?
Kwanza Kabisa Unatakiwa Ufahamu Kuwa Ninachofundisha Hapa Ni Kwa Beginners Na Simple Way Hakuna Wa Kukuona Katika Astral Planet Hadi Umfanye Akuone Kama Ni Dark Spirits Wao They Sense Your Fear Lakini Light Spirits Wanasense Your Belief Ndio Maana Kwenye Meditation Huwa Tunawaita Ili Wakuangalie Na Kukulinda Na Dark Spirits Na Muwakil Mmoja Anaweza Kuuwa Mapepo 100 Kwa Sekunde Chache Tu Ndio Maana Kwenye Meditation Huwa Hawasogei Maana Unakuwa Close To Your Soul...Sijawahi na sina mpango,labda itokee kwangu lakini iwe inaongozwa na Mungu maana yake yeye atanipa wa kuniongoza lakin si hii ya kujifanyia kisha unakutana na roho chafu ambazo zinaweza kukudhuru.
hiyo ni masters level mkuu,, death experience yeye bado beginner huwezi anzisha mtoto shule akaanza darasa la tano...Ndio ulikuwa unaelekea kuweza. Unafika stage ambayo utahisi hupumui kabisa na ukimya kutawala na hatimaye utaamua utoke ukatalii wapi
chochote unachotaka like keeping your belief closer to allah/god for muslims Or Keeping Your Closer To Jehova/Jesus To Christians Or Keeping You Closer To Demons If Your Paganism Or Keeping You Closer To Devil If You Are Ant-religious You Found There Whatever You Believe In Or Even Luxuries it depends on your demands Son,Duh! mambo haya si mchezo.
we ulishafanya hivyo ukapata faida gani..?
au kuna nini amaizing kitakuwa faida kwangu..?
hizo ni waves zinazosaidia kukutoa nje ya mwili mkuu...Walimu wako..!!?
Wanapatikana wapi hao walimu mkuu..?
Na mimi natafuta mwalimu..!
Au wewe unaweza kuwa mwalimu wangu pia..!
Me huwa nafikia stage ya mwili kuwa paralysed na kusikia sauti kama ya mawimbi fulani hivi...
Ila nikifikia hiyo stage najikuta naingiwa na UOGA wa ajabu...
Mwisho narudi kwenye hali ya kawaida..!
Nawezaje kuzicontrol hizo waves mkuu...hizo ni waves zinazosaidia kukutoa nje ya mwili mkuu...
Rakims