Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Inaruhusiwa Kula OBE Lakini Unachokula Uwe Unakijua Kama Ni Kilevi Usijaribu....

Rakims
 
Ukinywa kinatokea nini mkuu?
Kule Unatakiwa Uwe Awareness Na Uwe Na Hekima Maana We Are Talking About Spiritual World Hapa, Unaweza Kuingia Kanisani Au Msikitini Ukiwa Uko Vyombo? Na Kwa Mwenye Hekima Akitoka OBE Jambo La Kwanza Hukimbilia Nyumba Ya Mwenyezi Mungu Unaweza Ukatamani Ibada Zako Uwe Unazifanya OBE Kwa Hekima Utakazo Kutana Nazo Huko...

Asante
 
Kusafiri na kuona dunia jinsi ilivyo kwani watu waaokwenda angani wanakwenda kufanya nini huko miaka ya nyuma?
Mkuu unaweza tuelimisha ni kitu gani kipya ulijifunza baada ya kuwa umeenda nje ya mwili,labda kuna jambo uliweza jifunza.Naomba utujuze labda linaweza tusaidia
 
Ebanaee haya mambo yana wenyewe!!
Nimejaribu ila duh! nikaanza kuhisi pumzi inayoyoma/inapungua..! nikahairisha.
vipi mambo ndo hua hivyo ama me nimepita wrong way...?
 
Back
Top Bottom