Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu Rakims ikitokea mtu kakukuta ghafla kwenye zoezi anaweza kuona miili miwili?
 
Last edited by a moderator:
Wewe u mwanafunzi mzuri sana.

And that is the start-the first step to strange unknown world. Ukimkuta Lucifer na wengine huko wasalimie kwa Jina la Yesu, waambie BWANA Yesu asifiwe!

Vv
 
"Find Out What Is A Lucid Dream Mkuu"

kawaida ya brain powers mara nyingi huonekana uchawi kwa watu kughairi kufikiri....
Rakims
I know about dreams, a lot, may be even more than you comprehend. In fact, I can differentiate between dreams and visions. I can even know when I am attacked in a dream and destroy the attacker while sleeping and when I wake up I will continue to destroy the witchcraft. That is why Witches and people who practice those diabolical acts hates me.

A witch can use someones face and come to attack me, but believe me, I will know you before you go. I will use the power of the Blood of Jesus to destroy whatever plan/work the witch had and or was send to do to me.

This is the difference when you use the power of the Name Jesus and His Blood.

Welcome to Winners team, Team Jesus.
 
Nikikosa usingizi mara nyingi usiku...huwa nalazimisha usingizi huo kuja. Huwa nafanya hivi, ninalala na kufumba macho bila kujari nalala kwa pozi gani;kisha nachagua sauti moja ya mdudu ambayo ni nzuri lakini ni ya aina moja (isipande na kushuka) naamua kuisikiliza hiyo tu huku nikiziacha nyingine. Haichukui muda na lala usingizi mzito. Je pia na mimi ninakuwa nimefanya astral projection?

N.B Blue hiyo mbinu ndo nimeiweka wazi leo hivyo kila uitumiapo kimaandisha ama katika kuongea na hadhara usisahau kuni nukuu kama TUJITEGEMEE, 2015
 

You are very right..! It works, I have done it too. the Name Jesus Christ is so powerful.
 
 
Last edited by a moderator:
.......

Watu Wakiongea Kiswahili Au Swanglish Mnatucheka Ila mkipewa nafasi Broken Tupu....

na kingine quote yako ipo kishambulizi fulani hivi...

Rakims


RED: Ndiyo...si mmesema astral projection ni hatua moja kuelekea kuwekeana mikataba na nguvu za giza(Sheitwani/Devil) !!

Mashambulizi ni lazima watu warudi kwa Muumba wa Mbingu na nchi.
 

mkuu kwakua wewe ni mzoefu wa mambo haya embu tuelezee ni mambo yapi umeyaona huko?
 
RED: Ndiyo...si mmesema astral projection ni hatua moja kuelekea kuwekeana mikataba na nguvu za giza(Sheitwani/Devil) !!

Mashambulizi ni lazima watu warudi kwa Muumba wa Mbingu na nchi.

hahahahaaaah...! Si Unaona Mnavyokurupuka? Haya Uzi Wangu Wapi Unaona Nakwambia Unaweka Mkataba Na Shetani?

Jina Unalotumia Bora Ulibadili liwe "Tegemezi" Maana.... mmnh sijui unadamu ya kizushi....

Rakims
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…