Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mkuu hivi haiwezekani kuwa wakati unatoka (jitoa) katika mwili wako Ziraili nae akatokea na kukudakua huko huko kwenye mwili mpya?
 
Usijaribu. kuna magimba mengine ni milango ya kuzimu yananguvu ya uvutano kama Black Holl, kifupi yana njaa ya Roho ili yaendelee kudumu. Kama ilivyo dunia ni gate la kwenda juu ndiyo ilivyo kwa sayari zengine ni magate ya kwenda kuzimu. Me niliwahi kuvutwa si kwa hiyari yangu nilipofika karibu na Jupiter/sumbura, nikakurupuka. Usiniulize Sana Ila fahamu ivyo. Pia unatakiwa kuwa na ufahamu mkubwa Kiroho ili uweze kujicontrol unapokua ktk hali hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teacher naendelea kujinza somo letula kutoka nje mwili nafikili baada ya kusoma huu uzi kama mwalimu wa somo hili umeeleza faida zake tu sasa nahitaji kujua na hasara zake pia

Kwa sababu hapawezi kuwa na uzuri tu bila ubaya au madhara yaka kwa mtu aliyefanikisha zoezi hilo

Kwa mfano

Huwa tunajifunza humu jf kuroot simu nadhani hii ni mfano wake kuroot meditation yaan kuapgrade ubongo maana yake unakua na uwezo wa kufikiri kufanya kazi kwa uwezo wa hali ya juu kwenda kokote bila kizuiz kwa kifupi unakuwa na uwezo kuliko binadam wa kawaida
Kwa mfano kuroot simu ni kuifanya simu inakuwa na uwezo kuliko simu isiorootiwa lakini madhara yake yapo

Mfano huwezi kuapdate kutoka toleo iliopo na kupokea vision mpya ya android au kuapdate systeam itacorupt tu

Swali sasa nini madhala yake walikuwa tayari ndani na wanataka kuingia kwenye mchezo huu?





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo hadithi tu,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tambua huu sio mchezo wa kucheza hovyo, hii sio ya watoto kuchezea hii ni kama kupeleleza kituo cha upelelezi bila wao kukuona kwanza ile tu kutokuonekana na bilocation pamoja na teleportation ni kinga zako kubwa mfano right now kichwani kwako unawaza kupotea utokee sehemu, nani jirani yako anaweza kujua ukipotea yaani hapa ukitoka astro pj binadamu hakuoni ila ukiingia kule unakua mtawala wa yale mazingira kama majini wanavyojitokeza na kupotea duniani na wewe kule ni hivyo hivyo ukiinua vibration yako, binafsi sijawahi kuona side effect tangu nimeanza kufanya zaidi tu ya kuskia sauti za watu nisiowaona muda mwingine maeneo ninayokaa peke yangu nimetulia na kichwa kuuma kidogo ila nikiraise viberation siskii in short side effect zake unakua tu kitofauti na watu wengine.

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
napataga ndoto hizo.tangu nikiwa mtoto kwamba nikiwa nafukuzwa na sina mbio zaidi basi natafuta mahali ambapo hawapiti watu alafu nikiwa hapo nahamisha mawazo na kufanya ratiba zangu sehemu ya mbali kama kutembea kula kucheza bila kukata mawazo hayo hvyo eneo nililopo nakuwa nimepotea/invisible lakini nikisema tu niangalie wanaonitafuta basi mwili unaonekana na hutokeaga wanaambizana huyu hapa then nakamatwa ila nikihamisha mawazo tena na mwili unapotea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma uzi wangu nimeutoa sasa hivi,,mi nilihisi wachawi kumbe nami hutoka roho na kuacha mwili jamani,,sasa mbona huwa sijataka kutoka
 
Mi hunitokea nikiwa nimelala kifudi fudii na sio chali maana silalagi chali,mi nilijua wachawi jamani
 
Mim siwezi kuicontroll ni siku moja tu nilifurahia kweli,mi nilikuaga nahisi labda wachawi wananibeba,,maana hunitokea usiku nasikia mwili unakufa ganzi na nalazimishwa kupata usingizi wa lazima huku kiakili nakuwa najitambua kabisa na nakua naita watu wanisaidie,,,mi nilijua wachawi kumbe nawasingiziaa,,na kuna siku nikawaza nani ananifundisha kuwa mchawi maana huwa napaaa lo
 
Hii nzuri sana kwa watu wenye madeni mengi bank unadaiwa bodi ya mkopo wanakudai mangi anakudai nk...ni kupotelea huko kunako astra projection

Sent from myself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…