Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Kitufe cha like kimerudi mkuu

Mimi application ya jf haifunguki sijui hata kwanini.
Tangu juzi ilikuwa nikifungua inajifunga. Lakini leo nikifungua inasachi hadi naitukana... Hivyo natumia uc browse kwa njia ya mobile.
 
Kulikuwa na tatizo toka juzi, leo mchana ndo imerudi, hivyo kwasasa jaribu hiyo application na itakuwa imeshakaa sawa
 
Nimejaribu sana mpaka sasa najaribu tu inanigomea.
Kwa sasa imefika hadi hatua nikaifuta na kuidownload upya lakini wapi.
 
vipi namna ya kurudia mwili na kuamka?

Unafumba Macho Yako Katika Spirit Word Na Kupafikiria Ulipokuwa Umelala Ukifungua Unajikuta Umefika.. Ama Unaitizama Silver Core Iliyokuunganisha Na Ubongo Kisha Unaanza Kuifuata Kadri Unavyoifata Ndivyo Inavyoingia ndani na utafika ulipotoka na ukitoka ndio inavyozidi kukutoa....

"Rakims"
 
Baada ya kupitia page zote hapa nikasema ngoja nijaribu, nilipofikia nilipata ganzi mwili wote nilijaribu kujitingisha sikuweza, nilitaka kufungua macho sikuweza ikabidi nijifosi nikaamka, hopefully nitaweza next time
 
Hongera sana.
 
kitu gani kilikufanya ujitingishe tena??+
lakin hongera kwa kujarib, next time ukiwa na willing utaweza#
 
nilifikia hatua ya kunyanyuka hapo ndipo nikaona two forces zikishindana, nikafumbua macho na vile nilikuwa ktk ganzi nikajisemea tu ngoja niamke, binafsi sikuogopa chochote kutokana na maelezo niliyoyapata humu, thanks man!
 
Baada ya kupitia page zote hapa nikasema ngoja nijaribu, nilipofikia nilipata ganzi mwili wote nilijaribu kujitingisha sikuweza, nilitaka kufungua macho sikuweza ikabidi nijifosi nikaamka, hopefully nitaweza next time

Hongera Jitahidi Unapofikia Kwenye Ganzi Usijitingishe Kuithibitisha Ganzi U Just Visualize Waking Up....

"Rakims"
 
Mke wangu kuna wakati akipitiwa usingizi hata kama amekaa tu basi anapoteza kabisa anaskia kila kitu hata akiamshwa lakini kila akitaka kuamka ama kufumbua macho anakua hawezi, naomba mwenye ufahamu wa hii situation anipe elimu nitashukuru,. Cc Rakims
 
Hongera Jitahidi Unapofikia Kwenye Ganzi Usijitingishe Kuithibitisha Ganzi U Just Visualize Waking Up....

"Rakims"

Unapokuwa kwenye AP na unafanya ground movement ili kuweza kucontrol walking in AP Je, kama ni mlemavu wa viungo atatembea kwa fimbo zake(Clatches) au ataweza kuwalk bila hizo fimbo akiwa kwenye AP.
 
kuoga na kuvaa nguo safi zisizobana n kama kuvaa sanda, vazi maalumu la maiti

Guys nimejarib dis morning....wakati wa kutengana miili nj shidaaa u feel like hell yaan ubarid unauckia unaanzia miguuni kwene unyayo....unapanda taratib then take over inatakoa very slowly....separation of body! Nimeamua nijikurupue maana kuna imetoke very strange! But ntajarib tenaa jion

ahahahaha
 
Somekind of meditation naweza kusema hivyo lakoni katika ngazi za juu kabisa.. ni utulivu hali ya juu zaidi na ufahamu mkubwa. Ni njia nzuri ya kujifunza lakini nashauri kabla huja jairibu ukiwa peke yako, jaribu ukiwa na mwalimu ambae anaijua vizuri.
 
Back
Top Bottom