Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Mr Rakims, je vingine km majini, mbuzi, punda etc wanaweza kukuona?
viumbeJe astral projection haiathiriwi na ichawi na wachawi?

Watu wachawi na wanga wanaweza kukuona?. Mwalim Rakims nijibu tafadhali
 
Mr Rakims, je vingine km majini, mbuzi, punda etc wanaweza kukuona?
viumbeJe astral projection haiathiriwi na ichawi na wachawi?

Watu wachawi na wanga wanaweza kukuona?. Mwalim Rakims nijibu tafadhali
Ukitaka wakuone wanaweza kukuona ukitaka uwe invisible hata kwao pia unaweza mara nyingi wanasense hofu yako ndio wanakuona ukiwa hauna hofu wala wanakupita tu hawakuoni pia ukitoka kitu cha kwanza huwa unaona watu wawili wapo pembeni yako kila unapoenda na kila unachofanya wao wapo tu na wewe hawakuachi, wengine huwaita walinzi wengine huwaita malaika wengine huwaita viongozi wako kila mtu na jina lake ila mara nyingi wao huwa ni spirit guards wanakulinda usidhurike na wengine kama wao hawa huwa hawakuachi hadi kufa malaika wa kulia na kushoto ndio wakwanza utakao waona hata ukianza kutoka utaona mmoja anakurudisha mwingine anakutoa ukishatoka mwingine yule aliekuwa anakurudisha anasogea karibu yako zaidi kukukinga yule mwingine anakuwa anakuelekeza ukitoka bila wao basi tunasema hapo unakua umetoka low levels.. yani beginners mara nyingi huwa hawawaoni hawa zaidi ya nuru tu, hadi uanze kukifanya mjuaji ndio mambo yanaanza kutokea mengi, kuna sayari zingine ukienda unakuta viumbe wengine wanakuonyesha past, present and future kuna mambo makubwa ambayo mwenye akili finyu hawezi kuyamudu,

Rakims
 
Story za astral world huwa haziishi utanote kwenye dialy zako hadi utakosa pa kuandika kila siku jipya na kila siku zaidi ila ukitoka kwa limit utaishia salama lakini ukitoka kwA Limitless usishangae na wewe ukaitwa nabii baadae ukachomwa moto tu na mungu, theres a lot to learn but stay safe
 
Alright I understand!
Japo nahitaji leo nikatembee ufukweni hivi!
Hivi hili darasa lipo wapi hasa?
Duration ya kozi?
Fees?
Sio siri leo nikiweza nami itakuwa poa sana!
Mkuu ulipractice jana...

Rakims
 
Rakims nilishindwa kabisa naomba niwe mkweli juu ya hili coz whenever I tried nikuhisi utofauti wowote na kibaya zaidi nilipitiwa hadi na usingizi!
But please I need a help to practice hii kitu coz ni moja ya kitu kinachoninyima Aman na furaha kwa kushindwa kwangu na wengine wanaweza!
Practice mchana mkuu usiku mara nyingi mzito na usingizi mimi pia nilianza kutoka mchana na mchana unakuwa free zaidi kuliko usiku mradi pawe huru na pametulia na mazingira yawe sio ya kutisha,

Rakims
 
Naweza ingia ktk ofisi za watu nikasoma nyaraka muhimu,au kuzifaham passwords watumiazo mfano ktk computer?
 
Niliwahi kujiunga na somo hili kwa chama cha rose crution kama sijakosea spelling yote haya ni katika ibada za shetani kama free mason na satanic cults ..na inakuja kukutoa kuamini kama kuna mungu ....
 
Back
Top Bottom