Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Aisee hapana mm nmeona nitakutana na kifo kabisaaa
Maana nmeogopa mnooo
 
ndio wala sitaki kufikiria zaidi ya hapo nadhani huu uzi unataka kutengeneza misukule wengi
Still bado mkuu huo ndio mwisho wako wa kufikiria, a negative mind will never do a positive thing..

Rakims
 
Aisee hapana mm nmeona nitakutana na kifo kabisaaa
Maana nmeogopa mnooo
Fear is the first stage to go negatively, mkuu jitahidi kuondoa uoga kwenye hii dunia ili uishi kwa freedom

Rakims
 
Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.
  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari jumla!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are sure what you are trying to do!.

Paskali
Hatar sana
 
Huo mchezo unapotoka nje ya mwili unashikiliwa na kamba ya kiroho hipo kama utandu wa buibui.

Then unakuwa assisted na Nguvu za Giza ni hatari sana inapotokea kamba kukatika ndo haurudii tena mwilini kwako unaangukia tu Sheol.

Curiosity kill the cat
 
Mkuu silver cord siyo nyepesi kama inavyoonekana, ikiwa umeshawahi kutoka OBE ndio waweza kujua maana yake lakini kama hujawahi kutoka huwezi kujua hiyo silver cord ipo strong kiasi gani, ingekua ni rahisi kukata hivyo Mimi pia ningenza na yangu kwa maana kule kuna dimensions tatu kuna moja huwa naitamani ila ni impossible kukata silver cord yako au ya mtu. Kukatika kwa hii narudia tena By Experience ni impossible

Rakims
 
Pia watu walioisha wahi kutoka watakuthibitishia kwamba sio rahisi kutoka unless anaeitoa awe izlael,
 
Pia watu walioisha wahi kutoka watakuthibitishia kwamba sio rahisi kutoka unless anaeitoa awe izlael,
Mkuu rakim naomba kuulizaa zoezi hilo ukiwa huko waweza kaa kwa kiwango gani cha muda labda je hata siku mbili je inawezekana?
 
Mkuu rakim naomba kuulizaa zoezi hilo ukiwa huko waweza kaa kwa kiwango gani cha muda labda je hata siku mbili je inawezekana?

mkuu saa moja ya huku kwa kule ni sawa na nusu siku hivyo 3 or 4 hours ya Astral world unaweza hisi umekaa siku hata 7 mkuu karib,

Rakims
 
how to deal with fear during sleep paralysis? maana kila nikijaribu nisiogope ndo kwanza fear ina increase
 
Back
Top Bottom