Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
- Thread starter
- #2,001
Namba 2,Mkuu-Kwa mtu yeyote mwenye uelewa mpana wa Astral projection akisoma haya unayoyafundisha yako ata conclude mambo mawili-
1-Either kuna elimu pana ya maswala ya Astral projection huna uelewa nayo au,
2-Kuna mambo unawaficha watu kuwa-deceive ili waingie katika mtego bila kuelewa na hvyo kuangamia.
Kisha mimi napata faida gani wao wakiangamia?
Huwa mnafikiri mnavyoviandika au unaandika kutegemeana na akili imekwambia nini siku husika?
Rakims