Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Oyaa mmemaliza kubishana? Nimeanza kufatilia huu uzi mwaka jana .leo hatimae nimeumaliza ! Lakn bdo cjaona mrejesho wa walioweza na kutupatia experiences zao..binafc cfanyi na cfikirii kufanya hivyo but i'm just interested in reading.
 
mm nimejaribu but ganzi haifiki sehemu zengine za mwili
ganzi ipo tu kwa miguu haipiti kwa magoti ama inahitaji more time
 
This is very interesting. I am a very curious person na hua napenda sana kujifunza about spiritual life.. i wish to learn more kuhusu hii.
 
Oyaa mmemaliza kubishana? Nimeanza kufatilia huu uzi mwaka jana .leo hatimae nimeumaliza ! Lakn bdo cjaona mrejesho wa walioweza na kutupatia experiences zao..binafc cfanyi na cfikirii kufanya hivyo but i'm just interested in reading.
Well, si kila elimu lazima uifanye zingine unasoma kwa kuongeza maarifa ili ukija kusikia watu wanaleta ujuaji wa kitu unawatoa knock out.
 
sas mzee rakims, kam inawezkana kutoka nje ya mwili na kuzungumza hata na roho za wafu it means wanaweza kutuhadithia vibe la kufa cndio?
 
Depends na roho unayokutana nayo maana kwa kifo cha haki hakuna communications zaidi ya messages
 
Mimi naifanya hii na natumia miongozo/sauti (sleep hyponisis)muda mzuri wa kutoka ni asubuhi ukiwa fresh.. yaani hauna usingizi..
Hapa ninavyoandika nimetua muda si mrefu..
Akili imetulia kabisa.
 
Tuache kutishiana..hivi vitu/nguvu vipo...hivi unadhani yule aliyetabiri kutokea kwa ajili ya ndege alikuaje? Hivi vitu ukivifanya unaonyeshwa kabisa vitu vitakavyotokea kwa siku za usoni.
 
Kuna watu akili zao zipo pamoja na mwanga na wengine zipo na giza hivyo inahitaji akili nyingi kumuelewesha maisha ya mwanga

Rakims
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom