Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
- Thread starter
- #21
Aaah, Huku JF ni no mans Land.Tuekee na bandiko lingine kama unataka kutongoza wa huku jf mkuu
ila kwakua hakuna kuonana direct inamaana hamna mambo ya muonekano na body language.
Kwahyo hapo unaruka hii stage ya kwanza nliyojikita hapa unaanzia stage ya 2.Intrigue/Intrest
3.Rapport
4.Attract
Hizi stage ntazishusha sku nyingine😁