Jinsi ya kutongoza mwanamke msiyejuana (Barabarani, kwenye daladala au popote)

Jinsi ya kutongoza mwanamke msiyejuana (Barabarani, kwenye daladala au popote)

Tuekee na bandiko lingine kama unataka kutongoza wa huku jf mkuu
Aaah, Huku JF ni no mans Land.
ila kwakua hakuna kuonana direct inamaana hamna mambo ya muonekano na body language.
Kwahyo hapo unaruka hii stage ya kwanza nliyojikita hapa unaanzia stage ya 2.Intrigue/Intrest
3.Rapport
4.Attract

Hizi stage ntazishusha sku nyingine😁
 
Sasa points ni zile zile tatizo maelezo mkuu tukremu kabisaaa tusije tukajikanyaga huko piemuni
 
Sasa points ni zile zile tatizo maelezo mkuu tukremu kabisaaa tusije tukajikanyaga huko piemuni
Hahahaah😂😂...Dah, Usijichoshe unaweza kuficha nondo tu kwenye shati.
Nmefikiria mtu anatongoza na kikaratasi anaibia kwa pembeni😂
 
Maneno mengi ilikua zamani.
Mdalimie binti mpe 50 elfu ya vocha Kisha omba namba yake ya simu.
Kesho yake mtumie Tena elfu hamsini. Baada ya siku tatu mtumie laki ya vocha. Siku ya nne akipiga usipokee.
Kesho yake m command popote unapotaka atakuja baada ya kumtumia nauli ya taxi.
 
😂😂Wanateseka mno wakija hapa ooh wanawake wa kuwala sijui na kufanyaje hizo mbinu zote Kwa ajili ya haohao 😂😂
Acha wajifariji bana maisha yenywe haya. Wapigike mtaani hadi jf hapana bana😆😆😆😆utaskia unamwaga halafu unasepa
 
Kwaio no need of PESA?
Pesa itumike kuimarisha muonekano wako.
Na pesa sio Chakula ila ni kiungo tu kama hoho na pilipili kwenye mapenzi..
Kwani wewe ukikutana na demu barabaran unaanza kumringishia maburungutu
 
Back
Top Bottom