Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Kitu gani tena hiko😎ila ujipange Mana nna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu gani tena hiko😎ila ujipange Mana nna kitu
Muonekano, sankisti za kutosha na confidence bas umeua mchezo😆😆Hahahaah😂😂...Dah, Usijichoshe unaweza kuficha nondo tu kwenye shati.
Nmefikiria mtu anatongoza na kikaratasi anaibia kwa pembeni😂
Heee😁😁 bowloKitu gani tena hiko😎
Heee[emoji16][emoji16] bowlo
Hi sis nimekupenda ghaflaNilikua nataka nisome nikaacha baada ya kujua inawahusu wanaume tuu.
Wewe unatafuta mpenzi au unatafuta tobo?Maneno mengi ilikua zamani.
Mdalimie binti mpe 50 elfu ya vocha Kisha omba namba yake ya simu.
Kesho yake mtumie Tena elfu hamsini. Baada ya siku tatu mtumie laki ya vocha. Siku ya nne akipiga usipokee.
Kesho yake m command popote unapotaka atakuja baada ya kumtumia nauli ya taxi.
Aaah mabingwa wa summerization au sio😂😂...Nlikuwaga nawapenda watu kama nyie ile asubuhi ya pepa hujasoma halafu unakuta watu wanataja summary tu unakariri unaingia...afu unakuta mulemule😂😂Muonekano, sankisti za kutosha na confidence bas umeua mchezo😆😆
Tatizo mnawatreat wanawake kama Bidhaa...Watu musio na hela mnapitia tabu nyingi sana 🤣🤣🤣🤣🤣. Wanawake hawa hawa?
Mwalimu: "Chacha, nyie mbu kwa kwenu munawaitaje?"
Chacha: "Sisi hatuwaiti, huwa zinakuja tu zenyewe"
Kwani kilichoandikwa ni maneno au ni ma words?!Mkuu hapo hamna maneno mengi nliyoweka.
Hapo nimeweka tabia kama muonekano na body language.
Kwenye maneno nmegusia kidogo sana.
Mim mkuu sijaweka maneno ya kusema...Kwenye maneno ni freestyle tu.Shogun Method n Fractionation zilifeligi kwa mtu fulani niliporudi delete vitabu vyote ... Sheenzi type. No formula just free style.
Umejuaje mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi yanavyotesa vijana wacha waweke screenshot kama references[emoji38][emoji38][emoji38]mtaani kugumu