kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Maji unayoyajua wewe, hayo ya bombani, ya ziwani, ya mtoni n.kMaji gani [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji unayoyajua wewe, hayo ya bombani, ya ziwani, ya mtoni n.kMaji gani [emoji16]
Napenda gari ila sio la mwanaume. Nikijaaliwa nitakuwa nalo la kwangu.Sasa kama mwapenda gari sii mnunue why upande la mwanaume na kuishia kulowesha chupi
Safi zisake bwana hubby akukute upo na bmw x6 yakoNapenda gari ila sio la mwanaume. Nikijaaliwa nitakuwa nalo la kwangu.
Alfau unajua nyie wananwake wa jf mnajidai kutukandia sie wanaune wa humu hatuna hela....sawa hatujakataa. Ila na nyie wanawake wa jf mtakuwa hamna matako maana inakuwaje mpo online huku jf baadala yakuwa huko kwenye sehemu za starehe hii wikendWanaume wa jf bure kabisa badala mfundishane jnsi ya kupata pesa mfundishana ujinga mkikataliwa kisa amna pesa mnakuja kulia lia umu
Thubutuuu!! Amiri jeshi Mkuu wa nchi yako ni nani?? na bado!! yaani nyie tunawapelekesha sana!! Mawaziri, wabunge na Bunge lenu looote pale Dododm ni sisi tunaliongoza!! Mna tupachika majina tu!!Wee tusingewaza mbususu nyie mgekufa njaaa
Mi niwe mkweli,laiti wanaume mngekuwa mnatembea uchi ningechagua nitakacho.Gari kwio🙄usafiri uendeshe na kumilki wewe uje unitese mie🙌
Wabona....yaani mshukuru kwamba tunawaza mbususu ndio maana mnakula. Aya ngoja nimpe baba connection ya mbususuThubutuuu!! Amiri jeshi Mkuu wa nchi yako ni nani?? na bado!! yaani nyie tunawapelekesha sana!! Mawaziri, wabunge na Bunge lenu looote pale Dododm ni sisi tunaliongoza!! Mna tupachika majina tu!!
lkn ni sisi baba zenu hawakohoi hata kidogo km una bisha dogo nipe number ya ukweli wa Baba yako mzazi uone km mtakula leo!...... namfungia ndani na kipara chake mpaka akome!!
Hahaha unataka ile size yako 🤣🤣🤣🤣 lakini sii mnasema ata kibamia akijua kukitumia full burudaniMi niwe mkweli,laiti wanaume mngekuwa mnatembea uchi ningechagua nitakacho.Gari kwio🙄usafiri uendeshe na kumilki wewe uje unitese mie🙌
Hapana,kibamia awe na helaHahaha unataka ile size yako 🤣🤣🤣🤣 lakini sii mnasema ata kibamia akijua kukitumia full burudani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alfau unajua nyie wananwake wa jf mnajidai kutukandia sie wanaune wa humu hatuna hela....sawa hatujakataa. Ila na nyie wanawake wa jf mtakuwa hamna matako maana inakuwaje mpo online huku jf baadala yakuwa huko kwenye sehemu za starehe hii wikend
Una umri gani dogo?!Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au kuwapaparikia wanawake.
Wazee amini usiamini ukiwa bize na mambo yako yaani na life lako mademu watakutafuta sana utakula papuchi mpaka ukimbie.
Umenikumbusha vishawishi vya Ke wanaonisumbuaga sana kazini nikiwa bize na kazi na ukauzu wa kutosha, tena wengine ni wake za Watu.Principle ni ile ndo umejua leo demu ukiwa available kwake mda wote anakuona mshamba kuwa kauzu kuwa serious ukiangalia makazini watu waliooa wanakuwa bussy na ndo wanakula mademu kutwa unaweza usiamini ila wale wakupenda story na kuchekesha chekesha wanatoswa wanaonekana wana akili za kitoto
Utasimangwa mpaka uwe njitiNapenda gari ila sio la mwanaume. Nikijaaliwa nitakuwa nalo la kwangu.
Atafute hela kiasi gani? Maana akina Rostam Aziz, Mo ni watoto tu kwa akina Elon Musk, Jeff Bezzos kifedha [emoji2]Tafuta HELA
Sasa kibamia akiwa na hela sii utazizoea hela zake alafu utataka ukojozwe ndio mambo ya kuanza kusaka wakina mzabzabHapana,kibamia awe na hela