Jinsi ya kuwapata Wanawake kirahisi

Jinsi ya kuwapata Wanawake kirahisi

Wanaume wa jf bure kabisa badala mfundishane jnsi ya kupata pesa mfundishana ujinga mkikataliwa kisa amna pesa mnakuja kulia lia umu
Alfau unajua nyie wananwake wa jf mnajidai kutukandia sie wanaune wa humu hatuna hela....sawa hatujakataa. Ila na nyie wanawake wa jf mtakuwa hamna matako maana inakuwaje mpo online huku jf baadala yakuwa huko kwenye sehemu za starehe hii wikend
 
Wee tusingewaza mbususu nyie mgekufa njaaa
Thubutuuu!! Amiri jeshi Mkuu wa nchi yako ni nani?? na bado!! yaani nyie tunawapelekesha sana!! Mawaziri, wabunge na Bunge lenu looote pale Dododm ni sisi tunaliongoza!! Mna tupachika majina tu!!

lkn ni sisi baba zenu hawakohoi hata kidogo km una bisha dogo nipe number ya ukweli wa Baba yako mzazi uone km mtakula leo!...... namfungia ndani na kipara chake mpaka akome!!
 
Ila jamani wanawake na gari sijui ni nini kinawapagawasha na motorcar...ebu Kelsea na to yeye mje mtuambie kwa nini wannawake mnapagawa sana mkiona mwanaume ana motorcar
Mi niwe mkweli,laiti wanaume mngekuwa mnatembea uchi ningechagua nitakacho.Gari kwio🙄usafiri uendeshe na kumilki wewe uje unitese mie🙌
 
Thubutuuu!! Amiri jeshi Mkuu wa nchi yako ni nani?? na bado!! yaani nyie tunawapelekesha sana!! Mawaziri, wabunge na Bunge lenu looote pale Dododm ni sisi tunaliongoza!! Mna tupachika majina tu!!

lkn ni sisi baba zenu hawakohoi hata kidogo km una bisha dogo nipe number ya ukweli wa Baba yako mzazi uone km mtakula leo!...... namfungia ndani na kipara chake mpaka akome!!
Wabona....yaani mshukuru kwamba tunawaza mbususu ndio maana mnakula. Aya ngoja nimpe baba connection ya mbususu
 
Mi niwe mkweli,laiti wanaume mngekuwa mnatembea uchi ningechagua nitakacho.Gari kwio🙄usafiri uendeshe na kumilki wewe uje unitese mie🙌
Hahaha unataka ile size yako 🤣🤣🤣🤣 lakini sii mnasema ata kibamia akijua kukitumia full burudani
 
Alfau unajua nyie wananwake wa jf mnajidai kutukandia sie wanaune wa humu hatuna hela....sawa hatujakataa. Ila na nyie wanawake wa jf mtakuwa hamna matako maana inakuwaje mpo online huku jf baadala yakuwa huko kwenye sehemu za starehe hii wikend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au kuwapaparikia wanawake.

Wazee amini usiamini ukiwa bize na mambo yako yaani na life lako mademu watakutafuta sana utakula papuchi mpaka ukimbie.
Una umri gani dogo?!
 
Principle ni ile ndo umejua leo demu ukiwa available kwake mda wote anakuona mshamba kuwa kauzu kuwa serious ukiangalia makazini watu waliooa wanakuwa bussy na ndo wanakula mademu kutwa unaweza usiamini ila wale wakupenda story na kuchekesha chekesha wanatoswa wanaonekana wana akili za kitoto
Umenikumbusha vishawishi vya Ke wanaonisumbuaga sana kazini nikiwa bize na kazi na ukauzu wa kutosha, tena wengine ni wake za Watu.

Mungu nisaidie niendelee kuvunja rekodi yangu ya kukaa zaidi ya miaka mi4 bila ya kuchepuka ili nimfaidi Mama Kidawa ipasavyo [emoji28]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom