Jinsi ya kuweka akiba kwa wale tunaoanza maisha

Mkuu hili nalo neno
 
Kabisa kupeleka demu geto sio nzuri sana.
 
Habari zenu wakuu, ni jioni sasa, akili yangu inaniambia wacha nishee nanyi Watanzania wenzangu kitu kimoja kuhusu kusave pesa ili kuweza kufikia uhuru wa kiuchumi na kutimiza ndoto zetu iwe kujenga, kununua gari au kuanzisha kampuni.
Umechambua vizuri sana
Kwa mtu anaeanza maisha , itamsaidia sana.
 
"michango ya sherehe ni muhimu kwa umoja wa taifa"? hapa mtowa mada umefeli..
Ni muhimu kuleta umoja wa jamii mzee,
Kila mtu akiwa na mipango yake mnaachana
 
Nimependa hoja zako mkuu
 
Kuwa na mambo mengi ni shida sana aisee kunakuingiza kwenye suffocation za kijinga maisha yako yanakuwa kama vile unakimbizwa na jini?
 
Kuwa na mambo mengi ni shida sana aisee kunakuingiza kwenye suffocation za kijinga maisha yako yanakuwa kama vile unakimbizwa na jini?
Hahahaah mambo mengi kivipi mkuu
 
Chai
 
Ongea na watu kijana, mademu sio gharama kihivyo, usidate na demu asiefanya kazi, at least awe na kitu anafanya cha kumpa pesa, ukidate na dem mdangaji ndo utateseka
Au hajui kumpanga Demu au watu tumeziana uwezo
 
Uzi mzuri sana, ahsante tutaufuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…