Jinsi ya kuweka akiba kwa wale tunaoanza maisha

Ungeoaa
Ungepanda daladala.
 
Aisee una akili sana.
 
Kuweka akiba unafundishwa tokea utotoni
Nakumbuka nilipokuwa darasa la 4,unapewa hela ya wiki nzima sh 5,sh 10
Hapo kuna nauli yako nk,sasa ole wako usiende shule lazima uwe na majibu

Ova
 
Mimi nina mshahara wa 800k
Huu ndo mchanganuo wangu
1.200k house
2.200k usafiri na kula
3 100k natuma kijijini
4.100k savings
5.200k enjoyment
Hapo utatoboa kweli, maana hapo ni kusevu 12% ya kipato chako, wanashauri usevu 30%, vipi zaka na sadaka wapi?

home ya 800K ni pesa ndogo mno siyo ya kutumia 200K ktk enjoyment, assume ukiondolewa kazini ghafla, utaishije?
 
Ahahahahah daah ungempa 15k mbona ingekua chap tuu..
Mi ubahili upo kwa hawa viumbe hawa .
Ila kwa mambo mengine ni chap tuu kikubwa jambo liwe la maana kweli 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌 wee ni over pro ahaha
Viumbe gani wakati wewe ni mwanamke
aka kausha damu
 
Mimi nina mshahara wa 800k
Huu ndo mchanganuo wangu
1.200k house
2.200k usafiri na kula
3 100k natuma kijijini
4.100k savings
5.200k enjoyment
Kwanini 100k isiwe entertainment na 200k savings?
 
Kukaa mbali na kazini, kama ni nyumba yako, ni muhimu sana kukaa kwako, choo chako na familia yako tu. Hakuna wa kukuchunguza unakula nini. Gharama ya nauli ni kubwa ila ungepanga utasumbuliwa na UTI mara kwa mara na ni gharama kutibu. Waswahili nao wapo kazini, magonjwa yasiyo na kichwa wala miguu. Nashauri usipange "kaa kwako".
 
Kuweka akiba unafundishwa tokea utotoni
Nakumbuka nilipokuwa darasa la 4,unapewa hela ya wiki nzima sh 5,sh 10
Hapo kuna nauli yako nk,sasa ole wako usiende shule lazima uwe na majibu

Ova
Hadi nauli unabania unatembea. Mimi nilikuwa bingwa wa kusevu ile hela ya shule.
 
We jamaa unajua hesabu?
 
Hadi nauli unabania unatembea. Mimi nilikuwa bingwa wa kusevu ile hela ya shule.
Mwanzoni ukiwa unakula nauli,huwezi tena kumrudia mzazi
Ukamwambia mambo ya nauli nk
Kwa style hiyo lazima utajifunza kusave hela
Ndiyo namuambia mleta mada haya mambo yanaanzia utotoni kufundishwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…