Nikusaidie tu Ndugu,kupata hiyo pesa ni ngumu kwelikweli,kuwa makini sana na staff yoyote wa NSSF atakayekudanganya kwamba umpe pesa Ili akusaidie upate pesa yako,ataishia kukutapeli tu!!!jamaa yangu mmoja alitoa mpaka Rushwa ya 2ml Ili apate ml.54 yake NSSF lakini hakupata mwisho wa siku ikabidi ubabe utumike NDIPO yule NSSF staff akarudisha ile Rushwa ya ml.2,mchawi ni wewe kuandika una Degree(nilikuwaga mpaka na namba ya Mkurugenzi Mkuu Mushomba na nikampigia kumuomba msaada jamaa yangu apewe ml.54 yake lakini alikataa katakata,hivyo angalia usije ukalia zaidi kwa kutapeliwa