Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

Huu wizi, usipostaafu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
inabidi Mei mosi wafanyakazi wakinukishe ,wao wakimaliza muda wao wanapata stahiki zao zote,na wengine watalipwa mpaka kufa kwao ,familia zao kuishi maisha mazuri.
Mtu unamnyima pesa zake kwa kigezo atapata kazi kisa tu anayo degree,kwanza nani amesema anataka kuendelea kufanya kazi mpeni mtu jasho lake watu wanavuja jasho na kuumia kazini wewe unatunga sheria kandamizi
 
Alafu unakuta wana bania pesa yenyewe 2mil
Sasa wakti mtu ana fikisha 55yrs na hana nguvu tena ya kuhangaika sijui ita msaidia nn
 
Alafu unakuta wana bania pesa yenyewe 2mil
Sasa wakti mtu ana fikisha 55yrs na hana nguvu tena ya kuhangaika sijui ita msaidia nn
Ni bora mpaka kufikia hapo uwe hai,ukifa kabla ya 55 hela yako hesabia imepotea
 
Hawa wkuda sina hamu nao. Kipindi hicho nategemea nipokee vi milion kadhaa mara paap napokea laki 3 kuuliza mara oooh hadi miezi 18 ipite, ukizingatia mtu uko arosto ile mbaya unaweza ukufanya maamuzi ya ajabu sana usipokuwa mvumilivu.
 
Nikusaidie tu Ndugu,kupata hiyo pesa ni ngumu kwelikweli,kuwa makini sana na staff yoyote wa NSSF atakayekudanganya kwamba umpe pesa Ili akusaidie upate pesa yako,ataishia kukutapeli tu!!!jamaa yangu mmoja alitoa mpaka Rushwa ya 2ml Ili apate ml.54 yake NSSF lakini hakupata mwisho wa siku ikabidi ubabe utumike NDIPO yule NSSF staff akarudisha ile Rushwa ya ml.2,mchawi ni wewe kuandika una Degree(nilikuwaga mpaka na namba ya Mkurugenzi Mkuu Mushomba na nikampigia kumuomba msaada jamaa yangu apewe ml.54 yake lakini alikataa katakata,hivyo angalia usije ukalia zaidi kwa kutapeliwa
 
Mkuu ukidanganya elimu hawawez jua?
 
Elimu gani ambayo ukiwanayo unapewa pesa yote?
 
Siku ulipojaza taarifa kwa mara ya kwanza ku-join NSSF taarifa zako ziliingizwa kwenye system yao,so kama ulijaza una Degree basi System inasoma hivyo kwamba wewe Professional,leo huwezi kwenda kudai ukisema ni Fomu 4,shida ndio hiyo,Fomu 4 kushuka chini ndio unachukuliwa kama Kibarua(Non Professional)
 
Ulifanya makosa kukubali hiyo laki mbili kwa miezi SITA, kwasabb sasaiv umeshaingizwa kwenye mfumo huo. Isingekua hvo ningekuconnect kwa maneja mmoja wa hapo nssf akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…