Mbwa Kala mbwaNunua muziki mnene kuliko yeye akiwasha nawe unawasha
Nunua wakwako uwapigie siku za katikati ya wikiKuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana na muziki wao na kutoa mlio wa ajabu...naomba ushauri
Ndio dawa ya moto moto tuNunua Sabufa lako la 200k,tia nyimbo za fujo fujo kwenye flash, liwashe mida ya jioni. Fungulia sauti mpk mwisho, funga mlango wako alaf ww nenda katafte pa kulala hata siku mbili, ukirud tupe mrejesho.
[emoji23][emoji23][emoji23] dah wee jamaa!Nunua Sabufa lako la 200k,tia nyimbo za fujo fujo kwenye flash, liwashe mida ya jioni. Fungulia sauti mpk mwisho, funga mlango wako alaf ww nenda katafte pa kulala hata siku mbili, ukirud tupe mrejesho.
fanya ivi, dawa ya moto ni motoFanya hivi tafuta mziki wako wa wastani tu, chukua flash yako Kisha ingiza milio ya wanyama mbwa, nyau hata ng'ombe na punda usimsahau Kisha washa bufa yako chomeka flash yako ndani ya siku mbili tu,
Utakuja kunishukuru
Thread closedNunua muziki mnene kuliko yeye akiwasha nawe unawasha