Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Akiwa anataka kuwasha redio yake umuwahi na ww unawsha Bluetooth kwny simu yako afu una pair kwa sabufa lake. Afu fungulia porn afu uweke sauti ya juu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi mamlaka imeshindwa kazi, mbona nao wanalalamika ati kwenye makazi yao kuna kelele na wengine wanakusudia kutafuta makazi sehemu nyingine!!Piga hizi namba za mamlaka inayohusika na Kelele na mitetemo waje washughulike nae
0800 110 115
0800 110 116
0800 110 117
Hao ndio hasa wanahusika na uchafuzi mazingira kupitia kelele na wana vipimo kujua kama viwango vimezidi.
NB:Ulete mrejesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kiboko ya hayo makelele ni zile spika za Kwenye mashughuli ya kislamu(makawa) zile kukodisha pamoja na amplifier yake ni buku 8 tu,Sasa ile unaiunganisha na deki,au pc Kisha unaweka zile sauti za ving'ora Mara ambulance hapo lazima wasande.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yatakufa majituAzima pikpiki kubwa (BAJA itafaa)
Itoboe kdg exhaust,
Kisha iingize chumban,Tia stendi kubwa.
Afu ipige RESI ZA KUTOSHA MDA uke majiran zao wamezima mxmziki wao ndo wanapumzika.
Kisha
Utanishukuru baadae[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika, yaani mtu anaweka sauti kubwa mpaka unajiuliza huyu anafurahia muziki kweli? Au show off aonekane ana subwoofer na yeye!Hili limekuwa tatizo sugu Tanzania nzima. Linachangiwa na kutojitambua, ulimbukeni na pia kutofuata sheria ya uchafuzi wa mazingira.
Mmhh basi wameshindwa kaziHi mamlaka imeshindwa kazi, mbona nao wanalalamika ati kwenye makazi yao kuna kelele na wengine wanakusudia kutafuta makazi sehemu nyingine!!
SahihiHakika, yaani mtu anaweka sauti kubwa mpaka unajiuliza huyu anafurahia muziki kweli? Au show off aonekane ana subwoofer na yeye!
Na si mamlaka tu (NEMC) imeshindwa, bali hata Wizara husika ijitathmini.Hi mamlaka imeshindwa kazi, mbona nao wanalalamika ati kwenye makazi yao kuna kelele na wengine wanakusudia kutafuta makazi sehemu nyingine!!
Watu Kama nyie mnaojifanyaga mnajua kutumia approach za kistaarabu Kama hizi acha muwe mnatendwa tu.Angalau wewe jibu lako linatia matumaini..nimejaribu ila hawajagi kabisa hawa watu
Hii story ililetwa humu JF Kule kwny Uzi unasema kero ulizowahi kukutana nazo kwny nyumba za kupanga.Jamaa akahadithia fundi pikipiki alivyowafanyia majirani zake kwny chumba kinachofuata kwa style hio.Na ilikua Ni DarKuna chalii mmoja aliwai Fanya hivyo kipind naish Arusha,
Ile tabia ilikoma kabisa.
Resi ya pikpiki inakera mno[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli wameshindwa. Ila wakiambiwa kuna Mgodi fulani unatiririsha maji machafu utamuona Waziri, Mkurugenzi wanakimbizana!!!Watu Kama nyie mnaojifanyaga mnajua kutumia approach za kistaarabu Kama hizi acha muwe mnatendwa tu.
Yaani hao jamaa wa noise pollution wameshindwa kuyadhibiti makanisa na night clubs huko mtaani yanakofanya vurugu zao kila Siku lkn eti ndio watakuja kwny nyumba ya kapuku huko uswazi kupima noise pollution [emoji1][emoji1][emoji1] Mwafaaa
Na Hata hii story pia ilihadithiwa Kule kwny Uzi wa kero ulizokutana nazo kwny nyumba za kupanga.Ikifika usiku MDA wa kulala.
Chukua clip za EX,(zenye miguno na kelele nyingi)
Kisha play kwenye kwenye sabufa kwa sauti kubwa.
Afu weka repeat mode.
Afu funga chumba chako,
Kisha Nenda zako kalale LODGE utarudi kesho yake asbh kushakucha[emoji4]
Fanya hivyo kwa wiki nzima, TATIZO LITAISHA[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliikuta jf,.Mimi nmeishuhudia mtaani.Hii story ililetwa humu JF Kule kwny Uzi unasema kero ulizowahi kukutana nazo kwny nyumba za kupanga.Jamaa akahadithia fundi pikipiki alivyowafanyia majirani zake kwny chumba kinachofuata kwa style hio.Na ilikua Ni Dar
Though nakubali Ni kweli,kelele za pikipiki ni soooo