Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Dawa ya moto ni kuwacha moto mkali zaidi.
Hapo tafuta zile horn speaker (kama zile za msikitini) halafu hakikisha unazielekeza usawa wa huyo jirani yako, kisha ile mida wametulia unazifungulia mpaka mwisho ili wajue tabu zote na ule muda wanapiga muziki wao wenye swaga wewe washa muziki usiokuwa na swaga (kama makelele ya wanyama, vinora) ili kuwakata stimu.
Hapo lazima heshima irudi.