wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Wale watu sijui Wana faida gani hata mkuu.Nadhani hua Wana target wenye ma Viwanda nadhani kule Kuna fines nzuri nzuri mkuu.Ni kweli wameshindwa. Ila wakiambiwa kuna Mgodi fulani unatiririsha maji machafu utamuona Waziri, Mkurugenzi wanakimbizana!!!