Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

Mtoa Uzi utaniangusha sana baada ya kujibu mapigo alafu ukakubali maridhiano ndani ya muda mfupi. Utaniangusha sana


Wapelekee moto kadri raia hapa wanavyokushauri kwa wiki nzima
 
Hahaha Nunua "SABUFA" ya 30000 P.M.P.O kisha fungulia hadi mwisho lazima wamuite Mjumbe wa mtaa kusuluhisha.
 
Piga hizi namba za mamlaka inayohusika na Kelele na mitetemo waje washughulike nae
0800 110 115
0800 110 116
0800 110 117

Hao ndio hasa wanahusika na uchafuzi mazingira kupitia kelele na wana vipimo kujua kama viwango vimezidi.

NB:Ulete mrejesho
Hi mamlaka imeshindwa kazi, mbona nao wanalalamika ati kwenye makazi yao kuna kelele na wengine wanakusudia kutafuta makazi sehemu nyingine!!
 
Kiboko ya hayo makelele ni zile spika za Kwenye mashughuli ya kislamu(makawa) zile kukodisha pamoja na amplifier yake ni buku 8 tu,Sasa ile unaiunganisha na deki,au pc Kisha unaweka zile sauti za ving'ora Mara ambulance hapo lazima wasande.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Azima pikpiki kubwa (BAJA itafaa)
Itoboe kdg exhaust,
Kisha iingize chumban,Tia stendi kubwa.

Afu ipige RESI ZA KUTOSHA MDA uke majiran zao wamezima mxmziki wao ndo wanapumzika.

Kisha
Utanishukuru baadae[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yatakufa majitu
 
Mtoa mada fanya hivyo ili majirani zako wachague moja Kuzika au kusafirisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hi mamlaka imeshindwa kazi, mbona nao wanalalamika ati kwenye makazi yao kuna kelele na wengine wanakusudia kutafuta makazi sehemu nyingine!!
Mmhh basi wameshindwa kazi
 
tafta flash record maneno haya



nyie maboya sipendi kelele zenyu za muziki mxiiuuuusss

iwe inarepeat
 
Hi mamlaka imeshindwa kazi, mbona nao wanalalamika ati kwenye makazi yao kuna kelele na wengine wanakusudia kutafuta makazi sehemu nyingine!!
Na si mamlaka tu (NEMC) imeshindwa, bali hata Wizara husika ijitathmini.
 
Angalau wewe jibu lako linatia matumaini..nimejaribu ila hawajagi kabisa hawa watu
Watu Kama nyie mnaojifanyaga mnajua kutumia approach za kistaarabu Kama hizi acha muwe mnatendwa tu.

Yaani hao jamaa wa noise pollution wameshindwa kuyadhibiti makanisa na night clubs huko mtaani yanakofanya vurugu zao kila Siku lkn eti ndio watakuja kwny nyumba ya kapuku huko uswazi kupima noise pollution πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Mwafaaa
 
Kuna chalii mmoja aliwai Fanya hivyo kipind naish Arusha,

Ile tabia ilikoma kabisa.

Resi ya pikpiki inakera mno[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii story ililetwa humu JF Kule kwny Uzi unasema kero ulizowahi kukutana nazo kwny nyumba za kupanga.Jamaa akahadithia fundi pikipiki alivyowafanyia majirani zake kwny chumba kinachofuata kwa style hio.Na ilikua Ni Dar

Though nakubali Ni kweli,kelele za pikipiki ni soooo
 
Ni kweli wameshindwa. Ila wakiambiwa kuna Mgodi fulani unatiririsha maji machafu utamuona Waziri, Mkurugenzi wanakimbizana!!!
 
Na Hata hii story pia ilihadithiwa Kule kwny Uzi wa kero ulizokutana nazo kwny nyumba za kupanga.
 
Wewe uliikuta jf,.Mimi nmeishuhudia mtaani.

Sio kila story Lazima ianzie jf bwashee[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka, nimekumbuka Kuna majirani nliiwafukuza kwa mziki hatari, walikuwa wananikalia vikao, nikasema dawa ndogo, nikaenda home kuchukua mzik,walivyohama nikarudisha home.
 
Nunua sabufa....fungulia mchiriku na singeli mwanzo mwisho....ifunike na ndooo....siku tatu mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…