Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

Ni kweli wameshindwa. Ila wakiambiwa kuna Mgodi fulani unatiririsha maji machafu utamuona Waziri, Mkurugenzi wanakimbizana!!!
Wale watu sijui Wana faida gani hata mkuu.Nadhani hua Wana target wenye ma Viwanda nadhani kule Kuna fines nzuri nzuri mkuu.
 
Wale watu sijui Wana faida gani hata mkuu.Nadhani hua Wana target wenye ma Viwanda nadhani kule Kuna fines nzuri nzuri mkuu.
Faida ipo kama wakitekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kusimamia sheria, tatizo ni hilo la kuchagua kushughulikia yale tu yenye fine hizo nzuri nzuri. (Double standard)
 
Suala la uchafuzi wa mazingira kwa kelele lilipofikia linahitaji ngazi ya MH. RAIS kulitolea tamko kwa mantiki kuwa tayari level ya Mkurugenzi NEMC, WAZIRI imeshindikana (kumbuka matamko ya Mkurugenzi, Mawaziri zaidi ya watano kuhusu mitetemo). Tangu wametoa hayo matamko hali ipo vilevile!!!
 
Duuuh, hahaaaaaa. Hebu mpasie clip ya msomali kufia fiatini!
 
Angalau wewe jibu lako linatia matumaini..nimejaribu ila hawajagi kabisa hawa watu

watoa ushauri jf wengi ni wavuta bangi na wanafunzi kupata ushauri mzuri mpaka muungwana apite asome ndio ajibu upate angalau njia za kufanya
 
Kiboko ya hayo makelele ni zile spika za Kwenye mashughuli ya kislamu(makawa) zile kukodisha pamoja na amplifier yake ni buku 8 tu,Sasa ile unaiunganisha na deki,au pc Kisha unaweka zile sauti za ving'ora Mara ambulance hapo lazima wasande.
kuna baharia kasema hafu we unaenda kulala gesti mbali tena wao wanawasha weekend wewe unapiga j3-alhamis.
 
Nunua jenerator bovu lililokufa mafla akiwasha muziki nawe washa jenerator
 
Hizo kero ndo nazipendaga mm sema saivi niko kwa wastarabu.

Kanunue kinu kiwashe mda ambao wamepumzika tia sauti mwisho, harafu tokomea kesho wakikuliza unasema hata nyie huwa mnafungulia kwa sauti kubwa.
Hii alifanya Bwana mmoja, maana ilikuwa kila akiwaonya wapunguze sauti wanamwambia wapo kwao kama anataka nae afungulie.
Jamaa akakodi pikipiki bovu wapangaji walipozima muziki wao saa sita usiku kawasha pikipiki kapiga resi za kutosha wamegonga mlango nae kawajibu vilevile walivyomjibu.
Kesho yake fully adabu.
Unapotaka kudili na watu primitives kuwa primitives zaidi yao
 
Piga hizi namba za mamlaka inayohusika na Kelele na mitetemo waje washughulike nae
0800 110 115
0800 110 116
0800 110 117

Hao ndio hasa wanahusika na uchafuzi mazingira kupitia kelele na wana vipimo kujua kama viwango vimezidi.

NB:Ulete mrejesho
Watakuambia tuma nauli
 
Hii ni noma
 
Nunua sea piano weka singeli tena sio za jurekodi studio..chujua zilizorekodiwa kwwnye kigodoro fungulia mpaka mwisho ikifika kila jumatatu mpaka ijumaa hakikiasha hamlali wote we hulali na wao hawalali..uone kama watarudia tena ujinga wao
 
Ukipiga wanasemaje?kama hawaji nenda kwa mwenyekiti wa mtaa au mamlaka zingine za serikali eneo lenu
Kama huupiga mziki usiku wewe wakomoe kwa kuazima maspoka makubwa piga mchana ili wasilale hawata rudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…