Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Watu primitives inatakiwa uwafanyie mambo ya kiprimitives zaidi.Muombee kwa Mungu aache hiyo tabia
Kama vipi lipigwe azana tu.Kiboko ya hayo makelele ni zile spika za Kwenye mashughuli ya kislamu(makawa) zile kukodisha pamoja na amplifier yake ni buku 8 tu,Sasa ile unaiunganisha na deki,au pc Kisha unaweka zile sauti za ving'ora Mara ambulance hapo lazima wasande.
π₯±π€£π€£π€£Fanya hivi tafuta mziki wako wa wastani tu, chukua flash yako Kisha ingiza milio ya wanyama mbwa, nyau hata ng'ombe na punda usimsahau Kisha washa bufa yako chomeka flash yako ndani ya siku mbili tu,
Utakuja kunishukuru
Duh! Si mchezoKiboko ya hayo makelele ni zile spika za Kwenye mashughuli ya kislamu(makawa) zile kukodisha pamoja na amplifier yake ni buku 8 tu,Sasa ile unaiunganisha na deki,au pc Kisha unaweka zile sauti za ving'ora Mara ambulance hapo lazima wasande.
Sio afanyie kazi uani wakiwa wamepumzika wenzake?Azima pikpiki kubwa (BAJA itafaa)
Itoboe kdg exhaust,
Kisha iingize chumban,Tia stendi kubwa.
Afu ipige RESI ZA KUTOSHA MDA uke majiran zao wamezima mxmziki wao ndo wanapumzika.
Kisha
Utanishukuru baadae[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app