DOKEZO Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

DOKEZO Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni matumizi yote ya maji ya mtu kwa siku, kuoga, kufua, kuflash nk. Nafikiri hadi umwagiliaji.
ku flash! umwagiliaji ni anasa! sasa eti sijui kutawadha! mwee!! majani yoote haya? miti, vijiti, makaratsi ya bure tu! na wale na wenzangu wanoishi ziwani, baharini wapemba ndo kabisaa raha tu! kutawadha ni kugeuka tu taaa!! nyeupe iyo!!
 
wasabato mna mamboo!!!??? haya!! ilikuwaje mwenzetu hiyo Dunia?
Nilikuwa sijafaham kuwa, mtu mwenye uelewa wa maandiko ni msabato ahahahaa 😆?.

Haya soma hiyo...
Genesis 1: 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
 
Back
Top Bottom