ku flash! umwagiliaji ni anasa! sasa eti sijui kutawadha! mwee!! majani yoote haya? miti, vijiti, makaratsi ya bure tu! na wale na wenzangu wanoishi ziwani, baharini wapemba ndo kabisaa raha tu! kutawadha ni kugeuka tu taaa!! nyeupe iyo!!
Nilikuwa sijafaham kuwa, mtu mwenye uelewa wa maandiko ni msabato ahahahaa 😆?.
Haya soma hiyo... Genesis 1: 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.